Hazina mabango.....Kila wilaya kuna hizo ofisi za usalama wa taifa cha kufanya nenda ofisi za halmashauri ya wilaya au mkoa utaelekezwa uonane na afisa usalama au utaona ofisi zipo zipo tu ila hazina mabango yoyote ya ofisi hizo jua umefika
Ndio hazina mabango ya kuelekeza kwamba hii ofisi ya TISSHazina mabango.....
Aisee....Ndio hazina mabango ya kuelekeza kwamba hii ofisi ya TISS
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu
Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Aliyekutuma kama hajui aachie ngazi, wewe uchukue nafasi yake.Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu
Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
TISS hawana ofisi yao unayoweza kuwasiliana nao, kuomba ajira au kujitolea kufanya kazi kama ilivyo CIA au M16 ?Kila wilaya kuna hizo ofisi za usalama wa taifa cha kufanya nenda ofisi za halmashauri ya wilaya au mkoa utaelekezwa uonane na afisa usalama au utaona ofisi zipo zipo tu ila hazina mabango yoyote ya ofisi hizo jua umefika
Huyo ni nani? Kishoka?Mtafute huyu jamaa Civilian Coin, atakusaidia.
Kwa nini?Ndio hazina mabango ya kuelekeza kwamba hii ofisi ya TISS
TISS hawana ofisi yao unayoweza kuwasiliana nao, kuomba ajira au kujitolea kufanya kazi kama ilivyo CIA au M16 ?