Anuani ya Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), Nahitaji nitume barua

dgombusi

Senior Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
141
Reaction score
200
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
 
Ni Ofisi gani hiyo hadi ikupe Jukumu lisilowezekana?

Nenda ofisi za Mkuu wa Wilaya au Mkoa ulizia afisa usalama mkabidhi itafikishwa mahali husika kwa usalama zaidi
 
asante kwa taarifa kiongozi
 
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.

Andika kwa Katibu Mkuu Kiongozi ndo boss wa ofisi hiyo, anayesaini ni vema awe Katibu Mkuu pia au rank inayofanana na hiyo kiutawala

Katibu Mkuu Kiongozi,
S.L.P. 1102,
1 Barabara ya Julius Nyerere,
Chamwino,
DODOMA
 
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu

Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Aliyekutuma kama hajui aachie ngazi, wewe uchukue nafasi yake.
 
Kila wilaya kuna hizo ofisi za usalama wa taifa cha kufanya nenda ofisi za halmashauri ya wilaya au mkoa utaelekezwa uonane na afisa usalama au utaona ofisi zipo zipo tu ila hazina mabango yoyote ya ofisi hizo jua umefika
TISS hawana ofisi yao unayoweza kuwasiliana nao, kuomba ajira au kujitolea kufanya kazi kama ilivyo CIA au M16 ?
 
Ofisi zipo ila hilo la kujitolea sidhani kama wana utaratibu huo.
Ajira zenyewe wao ndio wakikutaka unaingia sio wewe kutaka[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom