Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

Kama kulikuwa na jina lililokuwa linatumika kwa ajili ya mtaa fulani kabla ya kuanza kwa usjili wa anwani za makazi na wakati wa isajili, wasajili wakaja na jina lao la mchongo; hapo kuna tatizo kubwa.

Hiyo nimeiona sehemu boya mmoja msajili kaweka jina la baba yake kwenye barabara ya mtaa fulani wakati baba yake hajawahi hata ishi mitaa hiyo.
sisi huku Tabata kuna mitaa nenda rudi ina majina yake ,cha kushangaza wamebadili majina,nadhani hata Kigoma kina Zitto walilamika madiwani walipitisha majina ya mitaa yao ibaki vile vile ,mwisho wa siku sehemu ambayo hamna hata kanisa limebadikwa jina la Askofu ,mitaa yote majina mageni
 
Hilo siyo baya hata US kuna Oxford, (New) York, (New) Hampshire. Ila pia hapa hapa Dar kuna Lugalo, Kagera, hadi kwa Aziz Ally, Kwa Msuguri n.k
Tufanye kitu ili hao wa USA waje wajifunze kwetu badala ya sisi kuwafanya wao reference point hata kama wanafanya visivyo
 
Matokeo yake watu waanze kujizoesha kutumia majina hayo mapya waliyopewa! Majina yaliyozoeleka kwa wengi ndio yangetumika.
 
Hii bongo ina vituko kweli kweli...

Ulitaka mitaa yetu tuipe majina ya viongozi ?
Kama jina lako ni matonya Wacha wakazi wenzako waseme mtaa uitwe Mt. Matonya kutokana na thamani na mchango wako kwao, sio wewe matonya kwakuwa una vijisent vya mboga ulazimishe jina lako au la mkeo au la ulikotika ndio liwe la mtaa.
 
Hivi Leo kwa Aziz Ally ukapaite Serengeti street kweli si unataka kuwapa watu shida
 
Mchamba wima

Tatiz la serekali ya kina meingulu Haina vipaumbele unakimbizaba na Kila takataka bila kujali mahitaji halisi za wananchi anuani hzo zimefikia wapi na bado sijaona muelekeo wake upuuz sana
 
Nayapenda Sana majin ya asili Kama kibah kwa mfipa au mbez kwa msuguli buza kwa mpalange au rulenge kwa ngulelo [emoji847][emoji39] ngarenaroki ,ngaramtoni njiro ,moshono barah, maji ya chai ,gezaulole, kisongo sanawari ,ungalimitedi ,
 
Halafu mie nilijua serikali itatengeneza Barabara za mitaa maeneo ya fikike kama ile miradi ya World bank ya kule Temeke , Sandari, mikoroshini , Manzese n.k miaka ile ya Kikwete,

Badala yake kumbe ni mambo yale yale kuchukua majina ya watu ili wapate kodi !
Polepole ndugu zitajengwa
 
Nipo kiwanja 11 ila hakuna 12 wala 10 hapa kwa majirani zangu wote na nimeisaka sana nimeikuta ipo mbali sana yaani ni mtaa mwingine kabisa. Toka zamani mtaa ni Rahaleo ila wameweka jina jipya eti Kiwelu Mt. sasa sijui wanamkomoa nani. Na vile mtaani kwetu vijana wote hawakupita kwenye zoezi hili ndio basi tena wanejirahisishia kufanya watakayo
 
Kwa daslam Bora hata wangeita mtaa wa Kangamoja st, wadangaji st, kavu na mshikaki st, naenda kusema kwa maaa st na kadhalika na kadhalika
 
Hivi Leo kwa Aziz Ally ukapaite Serengeti street kweli si unataka kuwapa watu shida
Ni kama zile shida zinazopatikana baada ya kubadili barabara ya Pugu kuiita Nyerere, daraja liko TAZARA wewe unasema liitwe Mfugale. Watu wataendelea kuita majina Yao waliyoyazoea na yenye historia wanayoifahamu wao.
 
Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na mitaa ina majina yake maalumu ambayo kama ukiyataja kila mtu atajua ni la mkoa na wilaya gani,

Lakini hali ni mbaya sana kwenye zoezi hili. Nimezunguuka jijini dar es salaam nikakutana na majina ya mitaa na barabara kama MT. Mchambawima, Ugweno, rombo, usangi, morogoro, ubena, Nyaishozi, maganzo, Kwamkunga, nk. Hii haikubaliki kabisa watu kuipa mitaa majina ya walikozaliwa na walikoolea wake zao, haileti maana kabisa na inachanganya watu. Wewe uko dar es salaam jina la Ugweno la nini huku gongolamboto? Uko kigamboni jina la morogoro kwenye mtaa ni lanini?

Majina haya yatazamwe upya.
Tatizo ni ccm ni maviiii
 
Hilo siyo baya hata US kuna Oxford, (New) York, (New) Hampshire. Ila pia hapa hapa Dar kuna Lugalo, Kagera, hadi kwa Aziz Ally, Kwa Msuguri n.k

Huko mikoani nako kuna Oyster bay (Dodoma), Manzese (Kahama), Nyegezi (Shinyanga), Mtwango (Dodoma), Chamwino (Tabora) hali majina haya yana asili ya mikoa mingine.

Hata jina lako la ubatizo ni la kizungu au kiarabu!! Wabongo hatupendi majina yetu kwa hiyo tuendelee tuiga yale mazuri mazuri
Nikweli kabisa nakubaliana na wewe,ukienda handeni utakutana na jina kama mwananyamala,mbweni
 
Hilo siyo baya hata US kuna Oxford, (New) York, (New) Hampshire. Ila pia hapa hapa Dar kuna Lugalo, Kagera, hadi kwa Aziz Ally, Kwa Msuguri n.k

Huko mikoani nako kuna Oyster bay (Dodoma), Manzese (Kahama), Nyegezi (Shinyanga), Mtwango (Dodoma), Chamwino (Tabora) hali majina haya yana asili ya mikoa mingine.

Hata jina lako la ubatizo ni la kizungu au kiarabu!! Wabongo hatupendi majina yetu kwa hiyo tuendelee tuiga yale mazuri mazuri
Uwezo wako wa kulinganisha mambo sio mkubwa sana inaonekana. Lugalo sio mtaa ni jina la taasisi. Hata wewe unaweza kufungua duka lako la kuuza samaki ukalipa jina la dada yako au Kijiji chako, kama duka hilo likiwa maarufu sehemu hiyo na hata madaladala na bodaboda yanashusha watu hapo dukani kufuata samaki au ni mwisho wa barabara kama vile Moshi bar kule gongolamboto basi watu wenyewe wachangia kufanya mtaa ule uitwe jina la duka lako. Hiki ninachosema mm ni tofauti kabisa na unachosema ww. Hapa ni mitaa isiyokuwa na majina Wala mtu Wala taasisi maarufu hivyo anajitokeza mtu mmoja wakati wa kuandika anwani za makazi na kusema mtaa huu uitwe Ugweno kwakuwa yeye kwao ni Ugweno huko Kilimanjaro, huu ndio upuuzi ninaousema mm.
 
Tufanye kitu ili hao wa USA waje wajifunze kwetu badala ya sisi kuwafanya wao reference point hata kama wanafanya visivyo
Tuanze na majina yetu. Badala mtu kuitwa Abdul au John aitwe Mapunda, Mkwegange, Masanja, Ndugai, Chacha, n.k baada yapo tufurushe majina yote ya ki
Uwezo wako wa kulinganisha mambo sio mkubwa sana inaonekana. Lugalo sio mtaa ni jina la taasisi. Hata wewe unaweza kufungua duka lako la kuuza samaki ukalipa jina la dada yako au Kijiji chako, kama duka hilo likiwa maarufu sehemu hiyo na hata madaladala na bodaboda yanashusha watu hapo dukani kufuata samaki au ni mwisho wa barabara kama vile Moshi bar kule gongolamboto basi watu wenyewe wachangia kufanya mtaa ule uitwe jina la duka lako. Hiki ninachosema mm ni tofauti kabisa na unachosema ww. Hapa ni mitaa isiyokuwa na majina Wala mtu Wala taasisi maarufu hivyo anajitokeza mtu mmoja wakati wa kuandika anwani za makazi na kusema mtaa huu uitwe Ugweno kwakuwa yeye kwao ni Ugweno huko Kilimanjaro, huu ndio upuuzi ninaousema mm.
Wewe ni mpumbafu kama umeshindwa kuelewa kitu kidogo namna hiyo. Uliongelea majina kutumika kusiko asili yake nikakwambia hayo majina mbona yapo na yanatumika miaka mingi na nikatoa mifano.
 
Halafu mie nilijua serikali itatengeneza Barabara za mitaa maeneo ya fikike kama ile miradi ya World bank ya kule Temeke , Sandari, mikoroshini , Manzese n.k miaka ile ya Kikwete,

Badala yake kumbe ni mambo yale yale kuchukua majina ya watu ili wapate kodi !
Hii biashara ya barabara za uswahili ilienda na mwendazake...km ulifanikiwa kupata barabara ya uswahilini km sisi shukuru Mungu km hamkufanikiwa endelea kuomba Mungu ipo siku yanaweza kuskilizwa ingawa sio kesho wala kesho kutwa.
 
Back
Top Bottom