Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

Lugalo sio mtaa ni jina la taasisi
Mkuu Lugalo ni jina la Kijiji kule Iringa, ndipo yalipofanyika mapigano ya wahehe na wajerumani na kumuua kiongozi wao Zelwisky miaka hiyo
 
Unaweza kuuza iwapo ni mmoja na uko peke yako kitu ambacho ni nadra kutokea vinginevyo huwa sio rahisi sana kama unavyoandika hapo.
Ni ngumu kama umezoea life la uswahili lakini kama ni mtu ambaye hupendi uswahiliswahili ni Jambo jepesi sana
 
Mbaya zaidi mtaa wetu umepewa jina la Nyumbu!!!! Sote tumekasirika hatuna la kufanya.
 
Mbona hayo majina yapo kabla ya anuani za makazi? Nenda ilala utakutana na mitaa inaitwa Moshi,Mtaa wa Arusha,mt l. Wa korogwe, Kariakoo kuna mtaa unaitwa Masasi,au Agrey yote majina ya watu na mikoa au wilaya nyingine. Umekuja Dar lini ww?
 
Tuanze na majina yetu. Badala mtu kuitwa Abdul au John aitwe Mapunda, Mkwegange, Masanja, Ndugai, Chacha, n.k baada yapo tufurushe majina yote ya ki

Wewe ni mpumbafu kama umeshindwa kuelewa kitu kidogo namna hiyo. Uliongelea majina kutumika kusiko asili yake nikakwambia hayo majina mbona yapo na yanatumika miaka mingi na nikatoa mifano.
Ni palepale TU uwezo wako sio kivileee!! Nami nimekwambia hayo majina yalikuwepo lakini ni watu wenyewe walitoa majina hayo kwa kujua au kutokujua. Yaani mtu mwenyewe kajenga hotel yake akaiita tip top lakini watu wakaamua kuita huo mtaa tiptop
 
Back
Top Bottom