Usikariri kwan China hakuna vitu originalNakumbiaje? Hata ingekuwa March-sagurasagura hakuna simu ya Nokia ya bei hiyo. Hizi zinafyatuliwa na wachina huko uchochoroni. Tuombe Mungu atusaidie zisiwe zimetengenezwa kwa material zenye madhara au zina radio waves za hatari kwani kizazi chetu kitakwisha. Nchi inaingiza kila aina ya ''takataka'' kutoka China. Fedha zimeondoa utu wa wanadamu!
kuwa na heshima bwana mdogo.Hunifahamu sikufahamu kwahiyo tuheshimiane.Kwanza unajua kusoma?Umeona nilichochangia kwenye huu uzi?Nimesema mtu anayetaka kununua kitu anunue direct kwa verified suppliers kwenye app na alipe kwenye app,asilipe kwa mtu au suppliers nje ya app.Pia siko Tanzania zaidi ya miaka 9,sitaki mazoea ya kipumbavu.Kuweni makini wako wengi hawa kuna huyu Dreams Llc na Richard na Karim Kanungila wote hawa ni wamoja bado naendelea kuwatafuta wengine mmoja najua anakopatikana China Plaza.
Mimi nina uzoefu najua na kama ulifanya hivyo sio utaratibu siku ukipatikana utaelewa show...Pitia comment zotee nilisha jibu hilo swali la TAR
Watu hamjui kitu kubalini na muwe tayari kuulizaMimi nina uzoefu najua na kama ulifanya hivyo sio utaratibu siku ukipatikana utaelewa show...
Nenda tra mkuu watakupa maelezo ya kutosha naongea kitu nakifahamu vizuri..shipping kampuni hawahusiki na TRA ila wanapaswa kushirikiana na TRA mizigo yote wanapo-importWatu hamjui kitu kubalini na muwe tayari kuuliza
Sasa mzigo unakua chini ya Shipping company Hao TRA Wanahusikaje na Buyer
Ujue tu kuwa, TRA Wanalipwa na Shipping company gharama Zinakua includedNenda tra mkuu watakupa maelezo ya kutoa naongea kitu nakifahamu vizuri..shipping kampuni hawahusiki na TRA ila wanapaswa kushirikiana na TRA muzigo yote wanapo-import
Kijana msimzoe wala kumkurupukia au kumshutumu usiye mjua kuwa makini sana maneno yakokuwa na heshima bwana mdogo.Hunifahamu sikufahamu kwahiyo tuheshimiane.Kwanza unajua kusoma?Umeona nilichochangia kwenye huu uzi?Nimesema mtu anayetaka kununua kitu anunue direct kwa verified suppliers kwenye app na alipe kwenye app,asilipe kwa mtu au suppliers nje ya app.Pia siko Tanzania zaidi ya miaka 9,sitaki mazoea ya kipumbavu.
Oooh kazi ndogo sana.kwanza unaish wapi. Nenda google andika labda mbagala postal code zitakuj ndy hizo zijaze hapWakuu naomba kuelekezwa namna ya kujaza address yangu AliExpress,
Issue ni hapo kwenye zip code,natakiwa kuweka nini?msaada tafadhali.View attachment 2608627
Hakik mkuu waelekez maana hawaelewUjue tu kuwa, TRA Wanalipwa na Shipping company gharama Zinakua included
Ach ubish kak mm nimesafirisha mara nying na sijawah kulipia traMimi nina uzoefu najua na kama ulifanya hivyo sio utaratibu siku ukipatikana utaelewa show...
Huyu jamaa inaonekana mzigo wake anachukulia TRA au hajui chochote ila style yake ya kutafuta taarifa anataka asionekane kama hajui kituAch ubish kak mm nimesafirisha mara nying na sijawah kulipia tra
Shukrani mkuu!Oooh kazi ndogo sana.kwanza unaish wapi. Nenda google andika labda mbagala postal code zitakuj ndy hizo zijaze hap
Labda iwe hivyo lakini si shipping zote wengine wanafikisha bandari unaendea kutoa mwenyeweUjue tu kuwa, TRA Wanalipwa na Shipping company gharama Zinakua included
Huyu jamaa inaonekana mzigo wake anachukulia TRA au hajui chochote ila style yake ya kutafuta taarifa anataka asionekane kama hajui kitu
Kwa mtu anayejua taarifa za Shipping company hawezi toa Pesa ya Makato zaidi ya ile aliyoelewana kabla ya mzigo kusafirishwa, Na mzigo unakua chini ya dhamana Yao
sasa hao TRA Jamaa Sijui Kawatoa Wapi
Hakuna import yoyote utafanya bila kulipa kodi labda useme hamjui mnavyolipa acha kudanganywa watu otherwise ukwepe kodi...Ach ubish kak mm nimesafirisha mara nying na sijawah kulipia tra
Nichek whatpp 0788906890 nikupe video ya muongozoShukrani mkuu!
Naomba nitakuja pm unielekeze zaidi namna ya kufanya coz ndo mara ya kwanza nataka kujifunza so sina mengi ninayoyajua.
Kaka kodi za tra zinalipwa na shipping companyHakuna import yoyote utafanya bila kulipa kodi labda useme hamjui mnavyolipa acha kudanganywa watu otherwise ukwepe kodi...
Na usipojua ndio mwanzo wa kupigwa na hizo shipping company maana watakuwekea asilimia zozote bila kujua
Afisa ukiagiza kwa mfumo utakaokufanya uwaface hao vijana wa field, watakukaanga hatariHakuna import yoyote utafanya bila kulipa kodi labda useme hamjui mnavyolipa acha kudanganywa watu otherwise ukwepe kodi...
Na usipojua ndio mwanzo wa kupigwa na hizo shipping company maana watakuwekea asilimia zozote bila kujua