Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Unapata hasara eti mzigo wa Nokia wa laki moja na Sitini nauri 358000
160,000+358,000= 518,000 Simu moja uku za nokia 40000 hadi 35000 maana ake hakuna kitu unapata labda matumizi binafsi
 
Ushukuru ila nipo makin sana naninauhakik naninachokifanya
 
Comment mbovu zisikuvuruge kabisa, wa Tanzania unatujua tupo nyuma sana. Uwa tunaona mabaya kwenye kila kitu. Nilitegemea nitakutana na maswali positive, km kuomba kujifunza kwa kumuona mshkaji kabisa. Ikiwezekana hata kumuunga mkono na ameweka wazi kabisa warrant anatoa ya mwaka. Km una physical address yake means unamrudishia mzigo anakupa pesa yako. Hata hili nalo linasumbua au kufikirisha? Tutaendelea kuwakatisha tamaa wanaotamani kutupa njia za fursa kwa kujificha kwenye mwamvuli wa utapeli.

Ndio maana Mungu alitupa uwezo pekee kabisa wa kufikiri ambao ni tofauti na wanyama. Ila kuna binadamu wenzetu bado wanafikiri kama wanyama. Imani yangu kuna watu watachangamkia fursa na watafanya vyema waliochagua kubeza waendelee. Hongera sana braza angalua haujaonyesha uchoyo wa fursa.
 
Ushauri tu ...simu usinunue china...tena online ni balaa zaidi ..labda usafiri.
 
Ukiwa na mzigo wowote ukimpa Silent haukwami bandarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…