chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 865
nataka agiza nguo za ndani za kike chupi Tait nipe mwongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hivi visimu vimekuwa vya kifoo sana sikuhiziUnaweza kukipasua kwa hasira
Utajutaaa mzeeKumbe hivi visimu vimekuwa vya kifoo sana sikuhizi
Kaka maneno ya kuambia changanya nayako jaribuHahahahah kumbe ushavijaribu ***** [emoji3]
Sina expirence na nguo ila nichek whatpp nikutumie Video yakukufunza jins yakuagiza na kupata supplies mzuri 0788906890nataka agiza nguo za ndani za kike chupi Tait nipe mwongozo
Mpaka sasa nimeshauza pc zaid ya 50 nahakuna return hata moja hivyo ndiyo utaamin hiz simu ni imaraKumbe hivi visimu vimekuwa vya kifoo sana sikuhizi
Kwa bei yako reasonable sana nitanunua kimoja this week sema uniuzie bei ya jumla maana nitanunua mzigo mkubwa the next coming week.Mpaka sasa nimeshauza pc zaid ya 50 nahakuna return hata moja hivyo ndiyo utaamin hiz simu ni imara
Hahahah ngoja tuone kama hio simu ina Quality ya HMD GlobalAkanunue sasa, atakuja toa ushuhuda. Haina haja ya kulumbana.. nimeongea kweli mtupu.. sina haja ya kuongo pea
Karibu bossKwa bei yako reasonable sana nitanunua kimoja this week sema uniuzie bei ya jumla maana nitanunua mzigo mkubwa the next coming week.
Ni Bots tu.NATAMANI KUTUMA VOICE NOTE ILI NIMWAMBIE MTOA MADA KUWA WALE WANAOTOA COMMENTS NI AKAUNTI FEKI NYINGI NA ASIJIAMINI KWA HIZO KOMENTS ILA BASI TU
Ni Bots tu.
We nae kujitia ujuaji khaaa? Umekomaaaaa ujue unatukela wasomaji?, tunakuona bwege tunaojua biasharaNakumbiaje? Hata ingekuwa March-sagurasagura hakuna simu ya Nokia ya bei hiyo. Hizi zinafyatuliwa na wachina huko uchochoroni. Tuombe Mungu atusaidie zisiwe zimetengenezwa kwa material zenye madhara au zina radio waves za hatari kwani kizazi chetu kitakwisha. Nchi inaingiza kila aina ya ''takataka'' kutoka China. Fedha zimeondoa utu wa wanadamu!
Very good umewaza kama Mimi kabisaNiko Kujifunza Kuna Wazo Hapa Ukiliboresha Unaweza Kutoboa
Namimi nafikiri nitaingia kwenye list hiiSaw mkuu mm piah ninampanga wakuagiza mwez my unaweza nichek whatpp tuagize wot maana tukiagiza mizigo mwing ndy tunapata punguzo la bei
Hujui hata kuandika ndugu yangu! ''Unatukela'' ndiyo nini? Umezoea kwa kulamba kama inzi anavyolamba vidonda siyo!We nae kujitia ujuaji khaaa? Umekomaaaaa ujue unatukela wasomaji?, tunakuona bwege tunaojua biashara