Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Daah hichi kichwaa siwez kuwa narafik kama wew nitafeli kabix unawza kushidwa muda wot duuuh
Hata mimi siwezi kuwa na rafiki kama wewe kwa sababu unashindwa kupembua mambo. Kuna mambo mawili unachanganya hapa. 1. Biashara 2. Genuinity ya bidhaa za biashara. Nianze na biashara. Kibiashara sikupingi kwani unatafuta riziki yako. Umejitahidi kuagiza simu na unauzia wateja ili uendeshe maisha yako. Hili nakuunga mkono na sikupingi. Big Up. Kuhusu genuinity ya bidhaa hapa ndipo napokupinga. Wewe unadai bidhaa zako ni genuine wakati mimi nakuambia ni copy. Bei yake kwa mtu anayejua biashara ya simu huwezi kumdanganya kuwa ni original nokia phone kwani kwa bei hiyo hupati. Jambo ambalo hujui ni kuwa mimi nakuokoa kutoka kwenye udanganyifu unaofanyiwa kwa kudhani kuwa hizo simu ni original. Nakufungua macho kuwa siyo original japo sikuambii uache biashara. Huoni kuna umuhimu wewe kama mfanyabishara kujua undani wa bidhaa unazouza kwa kina?
 
Kaka nadhani haina haja ya debate humu wew amini nicopy bt mm najua ni original
 
Sio fake kaka. Sas fanyeni kitu kimoja chagueni mmoja nimpe bure atumie alafu atawajuza wote mkisha mchagua mnichek whatapp 0788906890
Mike huwezi jibu Kila changio humu, ushajieleza kiasi inatosha mwenye uhitaji atakutafuta asiye hitaji atakupuuza,, jipambanue kwa vitendo, lete mzigo mwingine Bora zaidi, na pale upatapo wasaa toa maelekezo kwa wengine ili nao waweze kujiagizia bidhaa wazitakazo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ufanye maamuzi tu, ukitaka picha ana uwezo wa kukutafutia picha hata mtandaoni au akatumia original Kama chambo ukiingia njiani unapigwa, mara nyengine unapokusudia kufanya biashara labda ya milioni usione hasara kupoteza 25k kwa ajili ya utafiti, achana na habari za picha tafuta uhalisia ndugu.

Back
Top Bottom