Anzeni kuwekeza kwenye Crypto

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ Kupigwa nje nje
 
Un
Utumiq market gani local bitcoins imezuia watumiji wapya kwasas
 
Ser ni pm watsap yako kuna jambo nikuulize kuna mahal nakwama nikitaka kuingia BINANCE
 
Kilio tu kwenye crypto saiv madubwana yanadrop tu mmkk
 
Hii michezo since nimetapeliwa, siiamini kabisa.
 
Hii michezo since nimetapeliwa, siiamini kabisa.
Ulikutana na watu wabaya brother. Ni sawa na mtu aende kkoo auziwe sabuni badala ya simu, kisha aache kabisa kwenda kkoo akiamini wafanyabiashara wote wa eneo hilo ni matapeli
 
Ulikutana na watu wabaya brother. Ni sawa na mtu aende kkoo auziwe sabuni badala ya simu, kisha aache kabisa kwenda kkoo akiamini wafanyabiashara wote wa eneo hilo ni matapeli
Mkuu unaweza kunipa safety assurance ya pesa zangu Kwenye mtanadao? Maana nilishaumwa na nyoka.
 
Mkuu unaweza kunipa safety assurance ya pesa zangu Kwenye mtanadao? Maana nilishaumwa na nyoka.
Kwenye mtandao usideal na watu moja kwa moja, deal na kampuni. Kuna exchanges kubwa za crypto kama vile Binance ambayo ndio #1 duniani, unaweza tumia hiyo na pesa zako zikawa safe kabisa. Natrade kila siku na nipo na waTZ wengi tu wana mitaji mirefu brother kwa zaidi ya 5 years sijasikia malalamiko hapo Binance.
 
Kuna kipindi nipo kampuni moja nawekeza, binance nilikuwa natumia kama exchange platform, Kuna siku wakanitaarifu kwamba kampuni ninayowekeza ni scammers, lakini kipindi hicho nilikuwa napiga pesa, Wala sikutilia manani.

Mwishowe shwaaaa
 
Sio MTFEE
 
Kwa mtazamo wangu naona ni afadhali kujifunza namna ya kutengeneza faida mwenyewe kwenye crypto kuliko kutegemea 3rd party companies kwamaana wanaanzaga na ofa tamu ili ku-win trust yako ila mwisho wa siku wanakuumiza. Kama tayari ni mzoefu wa Binance bora kudeal na trading tu labda na uwekezaji wa hapo hapo maana Binance ni kampuni inayoaminika na ya muda mrefu. Uzuri ni kwamba zipo namna rahisi pia za kutrade na ukapata faida hata bila kutumia ujuzi mkubwa sana (kama P2P trading na Spot), ila kama upo tayari kutake risk kubwa unaweza kudeal na vitu kama futures trading sababu hapa ukiwa mzuri kwenye kufanya uchambuzi wa sarafu, kusoma charts, na kujua muda mzuri wa kuingia sokoni unaweza pata faida nzuri sana, ila futures bila elimu ni msiba brother!
 
Upo katika magroup ya Cryptocurrency mkuu via WhatsApp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…