Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
ππππππππ
π Kupigwa nje njeNikikumbuka scam za FTX na benance ndo naona Crypto ni betting kama betting zingine
Hi biashara ya kunambia ninunue crypto kisha utajiri wake eti ninhold sababu ni long investment ila cha ajabu hao wanaokwambia ununue then hold and dont sell because after few years you will make a fortune ndo hao wanaotaka kukuuzia.. mbona wao hawa hold
Crypto nyigi wanatengeneza hype kuwauzia watu baadae unaona zinashuka thaman baada ya demand kupungua.. yotube ziko video nyingi watu waliopiga pesa na watu walioliwa
Pesa yaan ukiuliza hiii crypto currency thaman yake inalindwa na nini utasikia inalindwa kwa kuwa na demands kubwa... nje ya demand hakuna backup ya kitu chochote demand ikishika then na thamani inapotea
bitcoin ina thaman kubwa sasa hivi ila
Thaman yake iko kwenye demand sababu kila mtu hataki kuuza ila bado haijawa universal kuitumia kama pesa maana haikubaliki na nchi zote.. na bitcoin ziko 21milion tu ikijiti hiyo 21m basi huwez ku mine new bitcoi. Labda wabadili chainblocks ..
so sasa hivi Bitcoin ni kama Antiques au zile paintings za kina Picasso au ile ya monalisa .. lakini haiwez kuja kuwa as a currency kama dollar
crypto currency wakat zinaanza watu walipiga chapuo kuwa ndio altrnative ya FIAT money ila baada ya kugundulika mapungufu mengi na scammers kuwa wengi watu wameanza kuziogopa sababu hakuna regulation ya ku control hata wewe kesho unaweza kuanzisha crypto currency yako ni swala kuweza kuipigia debe watu wakulipe dollar uwauzie digital currency wakiwa na imani itapanda thaman wauze wapige pesa