Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

Binafsi huwa inanisikitisha na ninawadharau sana kuona vijana wanaodharirishwa na CCM. Sijui watajitambua lini. Kuna wanaoitwa vijana wa Hamasa kama wale vijana wa Tulia pale Mbeya. Kama nikimuona mwanangu kwenye mambo ya CCM hakika namu laani. Mbona watoto wa akina Tulia na vigogo wengine hawafanyishwi kama matoto yetu ya kizugua yanavyofanyishwa. Pumbavu kabisa.
 
JIongeze

Kama ilivyo mbinguni,hata kule watumishi wapo

CCM nako ni vile vile

Hao green guard ni wa kutumwa tumwa

Huwezi kuta kijana mwenye malengo ya kisiasa kama mimi kufanya hivyo

Mwache ajifunze
 
JIongeze

Kama ilivyo mbinguni,hata kule watumishi wapo

CCM nako ni vile vile

Hao green guard ni wa kutumwa tumwa

Huwezi kuta kijana mwenye malengo ya kisiasa kama mimi kufanya hivyo

Mwache ajifunze
Ndio mtumwe kwenye hamasa na kushangilia kila kitu? Nyie ndio mnakata mauno na kudharirishwa jukwaani kisa CCM? Pumbavu kabisa nyie.
 
You are right who cares about his ass, let him die that is what ccm do anyway. Bandari haijapotea ni fikra zako tu.
Watoa taarifa mitandaoni wote washaanza kusahau swala la bandari

Wote wanakimbiza kivuli cha Makonda

Aahaaaa
 
Ndio mtumwe kwenye hamasa na kushangilia kila kitu? Nyie ndio mnakata mauno na kudharirishwa jukwaani kisa CCM? Pumbavu kabisa nyie.
Ukiwa mbwinga utatumwa tu

Hata huko CHADEMA huwezi kuta Dudley Mbowe anaandamana au kupigwa mabomu ya machozi

Ila Mdude kila siku ndo mbuzi wa kafara

Ukiwa boya utatumika popote
 
Hilo swali la amekulabpna ni la kawaida kwa vijana hao, makundi ya vijana hawa kila siku huzurula kwenye matawi ya CCM wapate ajira ya muda ya kushangilia kwenye mikutano na hwa ndio wale UVCCM Rapid Force, kula yao huwa mwisho wa shughuri kama itakuwepo ambapo hulipwa senti kidogo.
 
Bandari imeshasahaulika dadeki [emoji23][emoji23]
Ulitaka mambo yote yaachwe lizungumzwe la bandari pekee? Kwanza hadi sasa hujaona kuwa hatua kubwa imefanyika?
Jambo pekee unaliweza kufanya huku mengine yote ukiyaacha ni kutengeneza mtoto ukiwa na mama yeyoo pekee! Hapo sio kuacha kutenda tuu hata kufikiri pia
 
Watoa taarifa mitandaoni wote washaanza kusahau swala la bandari

Wote wanakimbiza kivuli cha Makonda

Aahaaaa
Hizi ndio akili za Ki bashite bashite!
Mnadhani kila saa tutaongelea bandari tuu na kuacha mkiwaharibu vijana wetu na kuwapa vilema kama huyo na kukaa kimya?
Kuna kipindi tuhuma za CCM wakubwa kuwaharibu vijana wa uvccm kwa kuwageuza kinyume na maumbile na kelele zikapigwa sana hata hapa JF na wakaacha, huoni tuliponya taifa? Sasa hivi huko uvccm waliobaki wenye tabia hizo ingawa hawajaisha lakini ni wachache.
Bandari iko palepale lakini na mengine haya ya kawaida lazima yasemwe. Au nawe ndio hao uvccm?
 
Back
Top Bottom