Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Ukiwa boya utateseka tuHizi ndio akili za Ki bashite bashite!
Mnadhani kila saa tutaongelea bandari tuu na kuacha mkiwaharibu vijana wetu na kuwapa vilema kama huyo na kukaa kimya?
Kuna kipindi tuhuma za CCM wakubwa kuwaharibu vijana wa uvccm kwa kuwageuza kinyume na maumbile na kelele zikapigwa sana hata hapa JF na wakaacha, huoni tuliponya taifa? Sasa hivi huko uvccm waliobaki wenye tabia hizo ingawa hawajaisha lakini ni wachache.
Bandari iko palepale lakini na mengine haya ya kawaida lazima yasemwe. Au nawe ndio hao uvccm?
Iwe upo kwa watoa taarifa au huku CCM