Vijana mnaoburuzwa na CCM lini akili itawarudia? Oneni kebehi hii "amekula huyu"?
Kiherehere eti kumpokea Bashite aka Makonda na mnaahidiwa elfu ishirini ishirini na t-shirt mcheze na mnacheza.
Nuksi ndio hizo unavunja uti wa mgongo kisha waliokuita wanakukejeli UMEKULA WEWE?
Jitambueni sasa, huko mtatumika lakini hakuna ufumbuzi wa shida zenu, mwelekeo wa maisha yenu ya baadae na hatimae ujana utawaacha mtabaki kuja kuwa wazee wa hovyo mitaani huku hao mnaowatumikia leo wakiwa rithisha kazi zao na biashara watoto wao wanao waandaa leo hii.
Hii ajali iwe kama taa nyekundu kuwaonya kuwa huko siko.
Tumuombee kijana alone haraka maana hapo CCM hata matibabu asahau.
View attachment 2794162