Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

Anasema hivi.....
See new posts

Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea MakondaPole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yakeNimesikitishwa na kauli za kejeli kutoka kwa katibu mwenezi Ally Bananga wa mkoa wa Dar es salaam baada kijana kupata ajali akiwa chini bila kupata huduma ya kwanza.

Bananga anasikika akisema anafamya usanii au ameenda (kufa) badala ya kumpatia huduma ya kwanzaBananga anasikika tena akisema wamuulize aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo kama amekulaImeniuma sana, sawa inawezekana mnajua wasanii wa Tanzania wana njaa lakini haikutakiwa kutweza utu wa mtu wakati wa maumivu makali na ajali kama ile..Nimevaa uhusika wa yule msanii (kijana) kama ndiyo mimi nimejikuta nimelia sanaaaaaaaaa

My Take: Wasanii wawe waache kushobokea siasa za CCM.

View attachment 2793755
Maskini
 
Kipindi Cha marehemu captain Komba. Kuna vijana walikuwa wanatengeneza jukwaa kama sio kushusha vitu kwenye lile gari la burudani la T.O.T
Kijana mmoja akaumia,kiongozi mmoja wa pale akasema mnatafuta vijana legevu Wala unga.

Niliichukia CCM toka siku ile
Hao NDIO CCM
 
Anasema hivi.....
See new posts

Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea MakondaPole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yakeNimesikitishwa na kauli za kejeli kutoka kwa katibu mwenezi Ally Bananga wa mkoa wa Dar es salaam baada kijana kupata ajali akiwa chini bila kupata huduma ya kwanza.

Bananga anasikika akisema anafamya usanii au ameenda (kufa) badala ya kumpatia huduma ya kwanzaBananga anasikika tena akisema wamuulize aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo kama amekulaImeniuma sana, sawa inawezekana mnajua wasanii wa Tanzania wana njaa lakini haikutakiwa kutweza utu wa mtu wakati wa maumivu makali na ajali kama ile..Nimevaa uhusika wa yule msanii (kijana) kama ndiyo mimi nimejikuta nimelia sanaaaaaaaaa

My Take: Wasanii wawe waache kushobokea siasa za CCM.

View attachment 2793755
potelea mbali
 
Anasema hivi.....
See new posts

Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea Makonda.

Pole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yake. Nimesikitishwa na kauli za kejeli kutoka kwa katibu mwenezi Ally Bananga wa mkoa wa Dar es salaam baada kijana kupata ajali akiwa chini bila kupata huduma ya kwanza.

Bananga anasikika akisema anafamya usanii au ameenda (kufa) badala ya kumpatia huduma ya kwanza. Bananga anasikika tena akisema wamuulize aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo kama amekula. Imeniuma sana, sawa inawezekana mnajua wasanii wa Tanzania wana njaa lakini haikutakiwa kutweza utu wa mtu wakati wa maumivu makali na ajali kama ile. Nimevaa uhusika wa yule msanii (kijana) kama ndiyo mimi nimejikuta nimelia sanaaaaaaaaa

My Take: Wasanii wawe waache kushobokea siasa za CCM.

View attachment 2793755
My Take: Wasanii wawe waache kushobokea siasa za CCM.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapema namna kafara tayari
JamiiForums-1985795145.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema hivi.....
See new posts

Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea Makonda.

Pole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yake. Nimesikitishwa na kauli za kejeli kutoka kwa katibu mwenezi Ally Bananga wa mkoa wa Dar es salaam baada kijana kupata ajali akiwa chini bila kupata huduma ya kwanza.

Bananga anasikika akisema anafamya usanii au ameenda (kufa) badala ya kumpatia huduma ya kwanza. Bananga anasikika tena akisema wamuulize aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo kama amekula. Imeniuma sana, sawa inawezekana mnajua wasanii wa Tanzania wana njaa lakini haikutakiwa kutweza utu wa mtu wakati wa maumivu makali na ajali kama ile. Nimevaa uhusika wa yule msanii (kijana) kama ndiyo mimi nimejikuta nimelia sanaaaaaaaaa

My Take: Wasanii wawe waache kushobokea siasa za CCM.

View attachment 2793755
Ujumbe: Wasanii waache Shobo kwa CCM.
 
Vijana mnaoburuzwa na CCM lini akili itawarudia? Oneni kebehi hii "amekula huyu"?
Kiherehere eti kumpokea Bashite aka Makonda na mnaahidiwa elfu ishirini ishirini na t-shirt mcheze na mnacheza.
Nuksi ndio hizo unavunja uti wa mgongo kisha waliokuita wanakukejeli UMEKULA WEWE?
Jitambueni sasa, huko mtatumika lakini hakuna ufumbuzi wa shida zenu, mwelekeo wa maisha yenu ya baadae na hatimae ujana utawaacha mtabaki kuja kuwa wazee wa hovyo mitaani huku hao mnaowatumikia leo wakiwa rithisha kazi zao na biashara watoto wao wanao waandaa leo hii.
Hii ajali iwe kama taa nyekundu kuwaonya kuwa huko siko.
Tumuombee kijana alone haraka maana hapo CCM hata matibabu asahau.
 
Vijana mnaoburuzwa na CCM lini akili itawarudia? Oneni kebehi hii "amekula huyu"?
Kiherehere eti kumpokea Bashite aka Makonda na mnaahidiwa elfu ishirini ishirini na t-shirt mcheze na mnacheza.
Nuksi ndio hizo unavunja uti wa mgongo kisha waliokuita wanakukejeli UMEKULA WEWE?
Jitambueni sasa, huko mtatumika lakini hakuna ufumbuzi wa shida zenu, mwelekeo wa maisha yenu ya baadae na hatimae ujana utawaacha mtabaki kuja kuwa wazee wa hovyo mitaani huku hao mnaowatumikia leo wakiwa rithisha kazi zao na biashara watoto wao wanao waandaa leo hii.
Hii ajali iwe kama taa nyekundu kuwaonya kuwa huko siko.
Tumuombee kijana alone haraka maana hapo CCM hata matibabu asahau.View attachment 2794162
Mamaeee

Mzuka ulipanda kwa furaha baada ya kumuona Makonda

Aliruka vibaya sana

Sidhani kama mgongo ulipona

Aahaaaaa
 
Back
Top Bottom