Ukiwa boya utateseka tuHizi ndio akili za Ki bashite bashite!
Mnadhani kila saa tutaongelea bandari tuu na kuacha mkiwaharibu vijana wetu na kuwapa vilema kama huyo na kukaa kimya?
Kuna kipindi tuhuma za CCM wakubwa kuwaharibu vijana wa uvccm kwa kuwageuza kinyume na maumbile na kelele zikapigwa sana hata hapa JF na wakaacha, huoni tuliponya taifa? Sasa hivi huko uvccm waliobaki wenye tabia hizo ingawa hawajaisha lakini ni wachache.
Bandari iko palepale lakini na mengine haya ya kawaida lazima yasemwe. Au nawe ndio hao uvccm?
Bandari imeshasahaulika dadeki [emoji23][emoji23]
Sass hapa mtu akikuita mpumbaf utamlaumu?Hii ndio tanzania, na si bandari tu kuna matatizo major yamesahaulika
Sometimes nawaonea huruma wapinzani
Huu ndio ujinga. Mungu hapangi mambo ya kijinga kama hayo msimsingizie.Ajali haina kinga mkuu! Na kila kitu Mungu anapanga kwahiyo nyie huko chadema hamuumiagi
Sass hapa mtu akikuita mpumbaf utamlaumu?
Au wewe ni Mkenya? Haya matatizo kama yamesahaulika kwa wengine si uyasemee wewe? Utakuwaje unasubiri usemewe na wengine tuu we umetuliza kalio lako ulipo? Eti wapinzani? Hujui kuwa matatizo yote yanapaswa kusemewa na wote maana hata huyo aliyeko madarakani hilo hasa ndio jukumu lake?
Akili za Bashite sasa zimepata kasi baada ya bashite mwenyewe kuingia ulingoni. AMKA we Detective uchwara!
Pole, niliku quote vibaya baada ya post nyingine kunichefua. Nisamehe sikuipata maana ya dhamira yako! Tuko pamoja mkuu!Unaniitaje mpumbav wkt hujui wapi nimeyasemea na lini? Hujui nimeyafikisha wapi?
Punguza kukurupuka bro
Point iko pale pale ni ngumu kumtetea mtanzania, mtu ambae hataki kumaka usingizini
Mpuuzi wewe! Nani kakwambia imefutika? Imefutika kwenye midomo siyo kwenye mioyo. Watu wako kazini kwa Mungu Kizimkazi anaweza fikiri ameshinda, subiri uoneWho cares
Kikubwa bandari imefutika midomoni mwa watu
Kuna watu hawajawahi hata kupigwa kofi kutetea katika harakati za kutetea hayo wanayoyaamini kutwa kajificha JF anaropoka tu ila anawasema wasanii huko uraiani na kufurahia ajali ya binaadamu mwenzao, hizi siasa zetu zashangaza kweli.Ajali haina kinga mkuu! Na kila kitu Mungu anapanga kwahiyo nyie huko chadema hamuumiagi
Binafsi huwa inanisikitisha na ninawadharau sana kuona vijana wanaodharirishwa na CCM. Sijui watajitambua lini. Kuna wanaoitwa vijana wa Hamasa kama wale vijana wa Tulia pale Mbeya. Kama nikimuona mwanangu kwenye mambo ya CCM hakika namu laani. Mbona watoto wa akina Tulia na vigogo wengine hawafanyishwi kama matoto yetu ya kizugua yanavyofanyishwa. Pumbavu kabisa.
Nimependa hapo kwenye Mytake, kwamba wasanii waache kushobokea siasa.
Na wala siyo wasanii waache kushobokea CCM.
Hiyo ajali inaweza kutokea akiwa anaitumikia Chama chochote, Iwe CHADEMA, ACT, CCM, nk.
Mungu(kama unamuamini) huwa habariki ushirika na yule muovu.The red light!Uti wa mgongo ni shida tupu, aombe asipate paraplegia
Wataishia kufanyia siasa za kujificha Kwa kybord huku wengine wakikimbilia ughaibun watuachie nchi yetu wenye uchungu nayoKuna watu hawajawahi hata kupigwa kofi kutetea katika harakati za kutetea hayo wanayoyaamini kutwa kajificha JF anaropoka tu ila anawasema wasanii huko uraiani na kufurahia ajali ya binaadamu mwenzao, hizi siasa zetu zashangaza kweli.
Sema hujajua tu, Mungu ndo mpangaji wa kila kitu kiwe cha kher au Shari kitu gan cha kijinga angekuwa chadema sawa sioHuu ndio ujinga. Mungu hapangi mambo ya kijinga kama hayo msimsingizie.
Hiyo sio ajali ni upumbavu na nado kiongozi wa ccm akasiliba kwa kejeli
Kwani wewe mfano umeamua kuwa shoga utasema Mungu ameamua?Sema hujajua tu, Mungu ndo mpangaji wa kila kitu kiwe cha kher au Shari kitu gan cha kijinga angekuwa chadema sawa sio
Kwa Sie siwezi kuwa hivyo Kwa ajili najua vitabu vinakatazaKwani wewe mfano umeamua kuwa shoga utasema Mungu ameamua?