Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.

Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
πŸ‘‰I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.

Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.

Bro au mzee wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
πŸ‘‰Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
πŸ‘‰Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla masterπŸ’ͺ intelli got your back comrade

πŸ‘‰ Magic and sweet mind mdogo Madame S, since the first day namjua, ameendelea kunishangaza juu ya upole na ucheshi wake. Ni mtoaji mzuri wa ushauri na pia ni ka mtu kakali kakiamua. Lots of love and respect to you.

team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
πŸ‘‰Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni National Anthem, Mzee wa kupambania, Bantu Lady Dahan, Mafian cartel, Analyse, Poor Brain, Mwachiluwi, ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.

waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa πŸ‘‰zikinifunza,kunijuza
πŸ‘‰ Habarisha
πŸ‘‰Fundisha
πŸ‘‰ Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
πŸ‘‰ Big bro Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.

πŸ‘‰ JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
πŸ‘‰ CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
πŸ‘‰ Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
πŸ‘‰Raisi wa chama Cha mkono bao na sheria ya kumwaga nje dronedrake
πŸ‘‰ paschal mayalla
πŸ‘‰ LIKUD,
πŸ‘‰ Genius Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
πŸ‘‰ SteveMollel, hutu ni legend kwani toka enzi za anga la washenzi mpaka Zama za jirani wa goba. Still hajawai flop.
πŸ‘‰wazee wa hip hop, team Cannabis, makaveli10 and others
πŸ‘‰ Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati Unique Flower, mpwayungu village, and great GENTAMYCINE, Chizi Maarifa na mkewe trudie lots of respect to you guys
πŸ‘‰Twin sisters Antonnia na Cha ukorofii Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
πŸ‘‰ Miss Nuzulati, mpole, mcheshi na akikasirika ana kuwa Kama pilipili ya unga. Hanaga mambo mengiπŸ‘Œ
πŸ‘‰ Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.
πŸ‘‰ Carlos The Jackal,
Team movies and series, πŸ‘‰mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu πŸ’― Introsagvert, Living Pablo, Numbisa, Khantwe

πŸ‘‰Kuna Hawa wazee wa comment, ukija na hasira au umevurugwa. basi unaweza cheka bila sababu πŸ‘‰ bro Extrovert, chalii was chuga Chaliifrancisco, mzee wa totoz mzabzab, mzee mwenye hekima, ambae haeleweki ana wasapoti au kuwapinga wazee wa kataa ndoa great Ushimen, King Kong III, huyu Jamaa anajua Sana utani. Hoja au maoni yako yatakuacha hoi

Wazee wa kutoa likes, Hawa hawana baya uwe expert au new member, basi lazima wakupe shavu mkwepu jr, Half american and others. Kudos

Wazee wa jf sport, upinzani ni mkubwa Sana,Tumekuwa tukijadiliana ama kubishana kuhusu soka. Aisee mko wengi kuanzia team arsenal,simba Hadi yanga πŸ‘‰ Castr, hamis77, ladies Kalpana, Shadeeya, Bantu Lady, great GENTAMYCINE

And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.

πŸ‘‰ Don't forget iam a big fan of my self Intelligent businessman .View attachment 2544334
Huu uzi nimechelewa kuuona..thanx sana rafiki..kupenda na ku appreciate ni tiba ya nafsi na moyo..
Ubarikiwe sana..am humbled..
 
Wachangamsha jukwaa wote nawakubali, sana, asanteni kwa muda wenu kwenye mada nisipoona comment ya mmojawenu najua hiyo mada haina jipya, hizi njemba zikitia mguu kwenye mjadala utaenda na unaweza kutembea hadi page 100 kwa siku moja Depal , To yeye , Dejane Evelyn Salt Demi Antonnia Ms cee Nakadori mzabzab Mzee wa kupambania DeepPond Amehlo Bantu Lady Kalpana National Anthem Glenn ERoni wachache sana niliowasahau,
Thanx mamiloo...kitambo sana naona siku hizi umetulia hutupi kitchen pateee kama zamani...
All in all I real appreciate
 
Back
Top Bottom