Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #201
Baada ya kukuzima, naona Umeona uungane nae ili muendeleze chama chenu Cha taarabhMpe vidonge huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kukuzima, naona Umeona uungane nae ili muendeleze chama chenu Cha taarabhMpe vidonge huyo
Pole shetaniiii, inauma ila itabidi uzoeeMjinga huo.
Wanajipa uspesho wa kinyumbu. [emoji16]
Sister mawigi Antonnia una upiga mwingiii. Barikiwa Sana. Sema mi muoga mnoo.Intelligent businessman kazi kwakoo ole wako umzingue mdogo wangu nitakuotesha kibiongo walai😂😂🤣🤣!!
Ha haa wala.hujala block banaa, hakukuwa na kitu walaHappy birthday mwenza mbona kimyakimya hivi au kule nimekula bulock
[emoji1787] Hapo sawa mwenza maana hata mambwa yako siyaoni nikawa najiuliza mwenza vipi tenaHa haa wala.hujala block banaa, hakukuwa na kitu wala
Aisee kumbe mnafuga na mbwaa humu??😆😎[emoji1787] Hapo sawa mwenza maana hata mambwa yako siyaoni nikawa najiuliza mwenza vipi tena
Aisee kumbe mnafuga na mbwaa humu??😆😎[emoji1787] Hapo sawa mwenza maana hata mambwa yako siyaoni nikawa najiuliza mwenza vipi tena
Mie nakuona kila siku😀[emoji1787] Hapo sawa mwenza maana hata mambwa yako siyaoni nikawa najiuliza mwenza vipi tena
[emoji1787] Nitafanyaje sasa na ndio umeamua uhide blue tickMie nakuona kila siku[emoji3]
Much love and respect brother ManyanzaMy all time favourite JF Characters ni hawa wafuatao.
Kwanza kabisa ni CEO na Founder wa JamiiForums Maxence Melo wewe ndio mtu muhimu sana humu kwa kutuleta pamoja, huna baya Kaka iwe Uraiani au humuhumu JF
Nakadori kwenye jukwaa la MMU
Elton Tonny kwenye jukwaa la Entertainment huwa ananivutia sana na simulizi zake maisha, Usaliti, Familia na mambo yasiyotarajiwa
singanojr much respect Bro siwezi kuelezea uwezo wako katika uandishi wako wa Simulizi nadhani hata James Cameron hakufikii 😂😂😂😂
Captain Marvelous na MosDef hawa jamaa habari zao kuhusu timu yangu pendwa LIVERPOOL FC huwa nikizisoma huwa najihisi kama nipo Anfield pembeni ya Jurgen Klopp na FSG. Shout out my Brothers
Jack Daniel Brother sina la kukuelezea lakini simulizi zako nazo huwa zinanijenga sana na kunifanya niendelee kuwa raia mwema hapa Tanzania
Unique Flower na cocastic huwa napenda sana kile mnachopost hata kama nimeshuka moyo lakini nikiona thread au post zenu ni lazima nitacheka na kufurahi.
raraa reree , Ambiele Kiviele wakuu mpo kwenye orodha ya watu wangu wa nguvu humu JF
Carlos The Jackal hahahhaa tuko pamoja sana Mkuu.
Greatest Of All Time , OKW BOBAN SUNZU , Kalpana na Scars ni Watu wangu wa nguvu hasa wale Vyura wanaoishi pale Bondeni Jangwani mnavyopambana nao huwa sina haja ya kuongeza maneno. #NguvuMoja
Wapo wengi sana na muda ni mchache na mambo ni mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa sio haki kama sitawapa maua hawa jamaa zangu
National Anthem huyu mdau wa mambo ya imani, magari RRONDO huyu ni mjerumani mweusi huwa tunapeana sana challenge kwenye uwanja wa magari kelphin huyu mdau wangu wa electronics hasa mambo ya sound engineering ni mkali JITU LA MIRABA MINNE huyu mdau ni mzuri kwenye umeme wa magari nafurahia sana mada zake kwenye jukwaa letu pendwa la jf auto dronedrake huyu kijana ni jasusi wa mambo ya mahusiano anaewapoteza maboya kwa kampeni ya kataa ndoa huku yeye anaishi na kipoozeo chake FATIMATI mamujee products [emoji3] ishi sana
@Chaliifransisco huyu chalii ya chuga hanaga kwere anatambua flagi ya mjuba popote ikipepea Saint Ivuga huyu mwamba hana baya always yuko positive GENTAMYCINE huyu jamaa ni mtata sana anajikubali na hapendagi kabisa ujinga wa kumshushia hadhi Robert Heriel huyu jamaa anajiita taikun wa fasihi ni almaarufu kwa magazeti marefu ya nyuzi za kusisimua Deep Pond huyu mwamba ni starring wa game ya michepuko akiwa na main Cast mama j kama mchepuko msumbufu ila wenye burudani. Huwa vimbwanga vyake na mchepuko wake huniburudisha sana. Mimi kama binadamu huwa na nyongo ila niwe wazi kuna member ambao wananikera sana na miongoni mwao ni huyu chawa mwandamizi wa bi tozo @CM736738 huyo fala mwenye ID hio ameongoza kunipeleka selo mara kadhaa baada ya kumwagia acid kali sana za kisiasa.
🤗🤗, Me too I dedicate it to all my living niggas in jf a.k.a chama Cha wezi wa kimataifa Bantu Lady, mcharuko Dahan, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa chama Cha mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo wa chama Cha Cha wezi Poor Brain, chambo wa chama Cha wezi Analyse, Kanali G, mizinguo stow away, mnyatiaji Ms eyes pamoja tunawaambia 👉 we Mean no malice to nobody.
I mean no malice to nobody.Shukrani sana mzee wa panga mkononi roho begani 🙏
One love