Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Kura yangu inaenda kwa yule memba mnaa JF nzima hakuna… if u know u know

Aiii yule mtu ni next level sijaona wala kusikia memba anayemfikia kwenye suala la uongo, unafki, uzandiki umbea na kufosi mambo.

Kiumbe nakupa heko
Unaupiga mwingi mno kudadeki


😂😂😂kiumbe ni Fav kwenye suala la kupanga matukio ya unaa
Aisee
 
Itakuwa sio haki kama sitawapa maua hawa jamaa zangu
National Anthem huyu mdau wa mambo ya imani, magari RRONDO huyu ni mjerumani mweusi huwa tunapeana sana challenge kwenye uwanja wa magari kelphin huyu mdau wangu wa electronics hasa mambo ya sound engineering ni mkali JITU LA MIRABA MINNE huyu mdau ni mzuri kwenye umeme wa magari nafurahia sana mada zake kwenye jukwaa letu pendwa la jf auto dronedrake huyu kijana ni jasusi wa mambo ya mahusiano anaewapoteza maboya kwa kampeni ya kataa ndoa huku yeye anaishi na kipoozeo chake FATIMATI mamujee products [emoji3] ishi sana
@Chaliifransisco huyu chalii ya chuga hanaga kwere anatambua flagi ya mjuba popote ikipepea Saint Ivuga huyu mwamba hana baya always yuko positive GENTAMYCINE huyu jamaa ni mtata sana anajikubali na hapendagi kabisa ujinga wa kumshushia hadhi Robert Heriel huyu jamaa anajiita taikun wa fasihi ni almaarufu kwa magazeti marefu ya nyuzi za kusisimua Deep Pond huyu mwamba ni starring wa game ya michepuko akiwa na main Cast mama j kama mchepuko msumbufu ila wenye burudani. Huwa vimbwanga vyake na mchepuko wake huniburudisha sana. Mimi kama binadamu huwa na nyongo ila niwe wazi kuna member ambao wananikera sana na miongoni mwao ni huyu chawa mwandamizi wa bi tozo @CM736738 huyo fala mwenye ID hio ameongoza kunipeleka selo mara kadhaa baada ya kumwagia acid kali sana za kisiasa.

[mention]Extrovert [/mention]
Ahsante sana sana sana mkuu
Hopefully siku moja tutaonana mkuu
,Sema ngoja nizitafute then nkitaka kudaka chuma najua wapi naanzia[emoji16]
 
Namkubali sana baba J DeepPond nikiingia humu lazima nikaangalie telemundo mpya aliyoweka.
Kuna bibie cocastic yeye kila coment ni anacheka mpaka anatoka machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Saint Anne zile keki zinaniinspire
Bro Intelligent businessman kuna siku nitakuuliza huwa unalala saa ngapi maana mkesha upo 24/7[emoji16][emoji16]
Kuna baba mtoto wangu wa HIARI Chizi Maarifa sema upunguze kunipondea kwenye nyuzi humo
Nimeimprove Sasahivi
Hadi nilimpikia ndugu yangu za birthday 😆
 
Hannah huyu mtoto anakata mapindi ila mjanja mjanja sana sema siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, kwa haraka haraka mi humuonaga sniper sema plans za ku intercept kifaa chake zipo [emoji3][emoji3][emoji3],,, you on my menu list ishi sana usife hadi special [emoji192] hacking operation itimie!

Nakukubali sana. Wewe ni miongoni mwa watu ninaowakubali kinoma noma.
Hata uki connect na bluetooth yangu ni moment ambayo nitaifanyia lamination idumu milele.
 
Evelyn Salt pacha wangu unajua vile nakupenda.

Nobunaga unajua vile nakukubali, you are special.

To yeye
Mshana Jr
makaveli10

mzabzab unanipaga raha na uchizi wako

Mzee wa kupambania Mzee wa mizagamuano, noma sana.

The Monk Rafiki wa ulweli.

Asprin Babu darling.

mbalizi1 Fundi wangu mkuu kabisa.

Msanii
Extrovert
The Icebreaker
Kiranga
ETUGRUL BEY
Kapeace

Lee

Shunie Mke mwenza nakupenda..

GENTAMYCIME

Heaven Sent una busara sana mdogo wangu.

xtaper


Glenn ulinikataa mchana kweupeeee, salute kwako mtumishi wa Mungu.

Amani iwe kwenu ndugu zangu.
Thanks mke mwee nakupenda sanaaa
 
Back
Top Bottom