fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
@Bukayosaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali sana. Kazi na iendelee 👊I mean no malice to nobody.
👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
Na kwenye hizo mada ukiingiaga tu utasikia wadau wote wanasema "mwamba huyu hapa sasa" 🤣🤣🤣Wachangamsha jukwaa wote nawakubali, sana, asanteni kwa muda wenu kwenye mada nisipoona comment ya mmojawenu najua hiyo mada haina jipya, hizi njemba zikitia mguu kwenye mjadala utaenda na unaweza kutembea hadi page 100 kwa siku moja Depal , To yeye , Dejane Evelyn Salt Demi Antonnia Ms cee Nakadori mzabzab Mzee wa kupambania DeepPond Amehlo Bantu Lady Kalpana National Anthem Glenn ERoni wachache sana niliowasahau,
I appreciate Demi 🙏Evelyn Salt pacha wangu unajua vile nakupenda.
Nobunaga unajua vile nakukubali, you are special.
To yeye
Mshana Jr
makaveli10
mzabzab unanipaga raha na uchizi wako
Mzee wa kupambania Mzee wa mizagamuano, noma sana.
The Monk Rafiki wa ulweli.
Asprin Babu darling.
mbalizi1 Fundi wangu mkuu kabisa.
Msanii
Extrovert
The Icebreaker
Kiranga
ETUGRUL BEY
Kapeace
Lee
Shunie Mke mwenza nakupenda..
GENTAMYCIME
Heaven Sent una busara sana mdogo wangu.
xtaper
Glenn ulinikataa mchana kweupeeee, salute kwako mtumishi wa Mungu.
Amani iwe kwenu ndugu zangu.
Leo ntoe out basi 😊😊
Igggweeeeeeeeeeeeeh shougaaaaa akeeee.cocastic kipenzi weerraaayyyyuuyyuuuu??? Nakumiss sana mimiii you are the reason I live here in jf sweetheart popote ulipo pokea salamu Zangu dear!![emoji8]!
Rabhekhaaaaaaaa ma fwendieeeeeeh!!!My all time favourite JF Characters ni hawa wafuatao.
Kwanza kabisa ni CEO na Founder wa JamiiForums Maxence Melo wewe ndio mtu muhimu sana humu kwa kutuleta pamoja, huna baya Kaka iwe Uraiani au humuhumu JF
Nakadori kwenye jukwaa la MMU
Elton Tonny kwenye jukwaa la Entertainment huwa ananivutia sana na simulizi zake maisha, Usaliti, Familia na mambo yasiyotarajiwa
singanojr much respect Bro siwezi kuelezea uwezo wako katika uandishi wako wa Simulizi nadhani hata James Cameron hakufikii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Captain Marvelous na MosDef hawa jamaa habari zao kuhusu timu yangu pendwa LIVERPOOL FC huwa nikizisoma huwa najihisi kama nipo Anfield pembeni ya Jurgen Klopp na FSG. Shout out my Brothers
Jack Daniel Brother sina la kukuelezea lakini simulizi zako nazo huwa zinanijenga sana na kunifanya niendelee kuwa raia mwema hapa Tanzania
Unique Flower na cocastic huwa napenda sana kile mnachopost hata kama nimeshuka moyo lakini nikiona thread au post zenu ni lazima nitacheka na kufurahi.
raraa reree , Ambiele Kiviele wakuu mpo kwenye orodha ya watu wangu wa nguvu humu JF
Carlos The Jackal hahahhaa tuko pamoja sana Mkuu.
Greatest Of All Time , OKW BOBAN SUNZU , Kalpana na Scars ni Watu wangu wa nguvu hasa wale Vyura wanaoishi pale Bondeni Jangwani mnavyopambana nao huwa sina haja ya kuongeza maneno. #NguvuMoja
Wapo wengi sana na muda ni mchache na mambo ni mengi.
Dear mie ni furahaa mda woteeee, meno njee utadhani natangaza White dent, uwiiiiiiiihNamkubali sana baba J DeepPond nikiingia humu lazima nikaangalie telemundo mpya aliyoweka.
Kuna bibie cocastic yeye kila coment ni anacheka mpaka anatoka machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Saint Anne zile keki zinaniinspire
Bro Intelligent businessman kuna siku nitakuuliza huwa unalala saa ngapi maana mkesha upo 24/7[emoji16][emoji16]
Kuna baba mtoto wangu wa HIARI Chizi Maarifa sema upunguze kunipondea kwenye nyuzi humo
Wanawachukulia poa ila bila nyie melo atarudi kulima ndiziNa kwenye hizo mada ukiingiaga tu utasikia wadau wote wanasema "mwamba huyu hapa sasa" 🤣🤣🤣
I'll ukamuibie sio😂, I mean no malice to nobodyLeo ntoe out basi 😊😊
I mean no malice to nobodyDear mie ni furahaa mda woteeee, meno njee utadhani natangaza White dent, uwiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Huyo mdogo wangu 🤣🤣🤣 angekuwa mwingine ningemuiba yeye kabisaI'll ukamuibie sio😂, I mean no malice to nobody
Yeaaaah!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I mean no malice to nobody
😂😂Unavopenda out kheeeeeLeo ntoe out basi 😊😊
Eeeh banaaa na haka ka hali ka hewaa kazurii 😊😊😂😂Unavopenda out kheeeee
Me nafanya kazi Monday to Sunday.Eeeh banaaa na haka ka hali ka hewaa kazurii 😊😊
Na mie nafanya kazi 24hours/7Me nafanya kazi Monday to Sunday.
Anachanganya comical handwrittings za JF na real situations maishani.Rubbish.