Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Wenzako kila jukwaa wamo, mara chitchat, MMU, urembo, kula pisi kali kimasihara, utani, siasa, intelligence, biashara, vyakula, mapenzi, tamthilia za Kikorea, usiku wa manane, vita, mikasa ya kimaisha, picha za warembo wakali duniani, international forum na kukutana kwenye media zingine nnje ya JF kama Telegram, WhatsApp, Twitter, ilihali sisi wengine huwa tuko kwenye majukwa hayazidi hata matano tu kama michezo ya football, dini, hoja mchanganyiko n.k.

Huoni wigo wa Marafiki walionao ni mwingi sana kuliko wewe?

Jikubali mwana wane kabla hawajakukubali na hata kama hawatakukubali, just be flexible circumstantially.
😂😂😂 i don't care pia hoja yako ni weak sana

ila mwenye uzi hata ajakutaja 😃

Pole
 
Kila member ana umuhimu wake humu,ndio maana ukapata hao member ambao ni favorite kwako,

Wangekua wapo peke yao tu humu hao uliowachagua wala wasingekua favorite kwako bila uwepo wa member wengine ambao wana utofauti na hao, uliowachagua,

Utofauti wetu ndio ulioifikisha Dunia hapa tulipo leo.
Mjinga huo.

Wanajipa uspesho wa kinyumbu. [emoji16]
 
Eh bana mi nna watu nahisi jf member wote maarufu wa MMU, nikianza na ma manzie Nakadori huyu mtoto ana elements organic sana ananikosha sana jinsi anavyobehave jukwaani@Amehlo huyu ni mjanja mjanja ila naamini hana baya Saint Anne haka kabinti ka kiefeso kalikuwa Ukwata enzi za chuo ila kakajanjarushwa sana na mji ila nakakubali kwenye kulinda rasilimali zake nyeti kanaepa sana mishale Madame B huyu mtoto ameiva kimaadili huwa sichoki kuona positive response zake humu jukwaani anaonekana bonge la wife material financial services huyu ni mtoto mzuri sana na bingwa wa chats za puppy love ila mzito wa maamuzi ingawa hana baya aishi sana. @Rebecca33 huyu ni kinara katika wale mabingwa wa mikazo na misuguano katika mada za men against women 🤣🤣🤣 huyu akikuamulia mnajaza server na ugomvi hauishi. Kapeace hili jina tu linasadifu malkia mmoja mkali sana mithili ya mtalaka wa Dokta wa mitishamba, sema kama kawaida ya watoto wazuri maneno kidogo mapenzi mengi sana kopa nyingi sana zimfikie huyu mchumba. Demi hii mbegu sijui ni ya kimeru huwa inanifurahisha maana response yake ni kama computer tu WYSIWUG 😀😀😀 ukiingia kifala unapata majibu ya kifala. Ukiingia kitimamu nakupa positive vibes ishi sana mtoto mzuri. luckyline huyu mtu bana yuko so self centered always huwa anafurahia ulimwengu wake tu na kwa wale team fisi huwa anatuacha na kaujumbe kuwa yuko wayoff our league na huwaW2 hataki mtu cheap ajipendekeze maana she can afford herself anataka ma Don tu 🤣🤣🤣 sema hana baya huwa naheshimu misimamo yake tu. Lenie huyu mtoto inaonesha wa kishizo sana sema mtu wa kulay low ishi sana mtoto mzuri ukitambua wahuni tupo japo unamaindisha ma tall handsome and black 😀 Hannah huyu mtoto anakata mapindi ila mjanja mjanja sana sema siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, kwa haraka haraka mi humuonaga sniper sema plans za ku intercept kifaa chake zipo 😀😀😀,,, you on my menu list ishi sana usife hadi special 🐱 hacking operation itimie! Antonnia huyu dogo yupo neutral hana baya in most cases anakuwaga mzuka mwingi ishi sana. Mi amor huyu member sijui ndio kashasilimu naye maana watoto wa humu kwa kujisilimisha daily ID wanaziswap sema hanaga baya wengine niliowasahau msijiskie hovyo sababu wote nawapa kopa tu. Hamnaga kambaya
Hahaa puppy love😀 thank you mkuu, uishi sana pia huna baya damu yangu, na ukifa hautaoza damu yangu🤣🤣 ila ulichonifanyia sawa tuu🙌
 
Back
Top Bottom