Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wenzako kila jukwaa wamo, mara chitchat, MMU, urembo, kula pisi kali kimasihara, utani, siasa, intelligence, biashara, vyakula, mapenzi, tamthilia za Kikorea, usiku wa manane, vita, mikasa ya kimaisha, picha za warembo wakali duniani, international forum na kukutana kwenye media zingine nnje ya JF kama Telegram, WhatsApp, Twitter, ilihali sisi wengine huwa tuko kwenye majukwaa hayazidi hata matano tu kama michezo ya football, dini, hoja mchanganyiko n.k.Ila jamani hizi nyuzi za kusifia member flani kuna watu wata- commit suicide
Heri msifiane huko PM kwa manufaa ya wengi
Btn thank you for the compliment ,I appreciate you too
Huoni wigo wa Marafiki walionao ni mwingi sana kuliko wewe?
Jikubali mwana wane kabla hawajakukubali na hata kama hawatakukubali, just be flexible circumstantially.