Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Itakuwa sio haki kama sitawapa maua hawa jamaa zangu
National Anthem huyu mdau wa mambo ya imani, magari RRONDO huyu ni mjerumani mweusi huwa tunapeana sana challenge kwenye uwanja wa magari kelphin huyu mdau wangu wa electronics hasa mambo ya sound engineering ni mkali JITU LA MIRABA MINNE huyu mdau ni mzuri kwenye umeme wa magari nafurahia sana mada zake kwenye jukwaa letu pendwa la jf auto dronedrake huyu kijana ni jasusi wa mambo ya mahusiano anaewapoteza maboya kwa kampeni ya kataa ndoa huku yeye anaishi na kipoozeo chake FATIMATI mamujee products 😀 ishi sana
@Chaliifransisco huyu chalii ya chuga hanaga kwere anatambua flagi ya mjuba popote ikipepea Saint Ivuga huyu mwamba hana baya always yuko positive GENTAMYCINE huyu jamaa ni mtata sana anajikubali na hapendagi kabisa ujinga wa kumshushia hadhi Robert Heriel huyu jamaa anajiita taikun wa fasihi ni almaarufu kwa magazeti marefu ya nyuzi za kusisimua Deep Pond huyu mwamba ni starring wa game ya michepuko akiwa na main Cast mama j kama mchepuko msumbufu ila wenye burudani. Huwa vimbwanga vyake na mchepuko wake huniburudisha sana. Mimi kama binadamu huwa na nyongo ila niwe wazi kuna member ambao wananikera sana na miongoni mwao ni huyu chawa mwandamizi wa bi tozo @CM736738 huyo fala mwenye ID hio ameongoza kunipeleka selo mara kadhaa baada ya kumwagia acid kali sana za kisiasa.
 
Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.

Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
[emoji117]I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.

Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.

Bro au mzee wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
[emoji117]Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
[emoji117]Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla master[emoji123] intelli got your back comrade

team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
[emoji117]Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni National Anthem, Mzee wa kupambania, Bantu Lady Dahan, Mafian cartel, Analyse, Poor Brain, Mwachiluwi, ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.

waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa [emoji117]zikinifunza,kunijuza
[emoji117] Habarisha
[emoji117]Fundisha
[emoji117] Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
[emoji117] Big bro Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.

[emoji117] JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
[emoji117] CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
[emoji117] Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
[emoji117] paschal mayalla
[emoji117] LIKUD,
[emoji117] Genius Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
[emoji117] SteveMollel, hutu ni legend kwani toka enzi za anga la washenzi mpaka Zama za jirani wa goba. Still hajawai flop.
[emoji117]wazee wa hip hop, team Cannabis, makaveli10 and others
[emoji117] Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati Unique Flower, mpwayungu village, and great GENTAMYCINE, Chizi Maarifa na mkewe trudie lots of respect to you guys
[emoji117]Twin sisters Antonnia na Cha ukorofii Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
[emoji117] Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.
[emoji117] Carlos The Jackal,
Team movies and series, [emoji117]mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu [emoji817] Introsagvert, Living Pablo, Numbisa, Khantwe

[emoji117]Kuna Hawa wazee wa comment, ukija na hasira au umevurugwa. basi unaweza cheka bila sababu [emoji117] bro Extrovert, chalii was chuga Chaliifrancisco, mzee wa totoz mzabzab, mzee mwenye hekima, ambae haeleweki ana wasapoti au kuwapinga wazee wa kataa ndoa great Ushimen,

And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.

[emoji117] Don't forget iam a big fan of my self Intelligent businessman .View attachment 2544334

Mleta Uzi, utalamba tuzo Sooon, ngoja nitete na Mods[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kuna pipo zikikaa kwenye uzi utaenda tu hata km uzi hauna madini, wengine wanatuchukulia poa lakini nakuhakikishia bila wachangamshaji huu mtandao ungekuwa umepwaya
Umeona eeehhh!! Ndio ivoo kuna watu uwepo wenu ni muhimu sana humu yani unaona kabisaa huu uzi akiwepo fulani utanoga sana!!
Muishi miaka mingi sana wapendwa!!
 
My all time favourite JF Characters ni hawa wafuatao.
Kwanza kabisa ni CEO na Founder wa JamiiForums Maxence Melo wewe ndio mtu muhimu sana humu kwa kutuleta pamoja, huna baya Kaka iwe Uraiani au humuhumu JF
Nakadori kwenye jukwaa la MMU
Elton Tonny kwenye jukwaa la Entertainment huwa ananivutia sana na simulizi zake maisha, Usaliti, Familia na mambo yasiyotarajiwa
singanojr much respect Bro siwezi kuelezea uwezo wako katika uandishi wako wa Simulizi nadhani hata James Cameron hakufikii 😂😂😂😂
Captain Marvelous na MosDef hawa jamaa habari zao kuhusu timu yangu pendwa LIVERPOOL FC huwa nikizisoma huwa najihisi kama nipo Anfield pembeni ya Jurgen Klopp na FSG. Shout out my Brothers
Jack Daniel Brother sina la kukuelezea lakini simulizi zako nazo huwa zinanijenga sana na kunifanya niendelee kuwa raia mwema hapa Tanzania
Unique Flower na cocastic huwa napenda sana kile mnachopost hata kama nimeshuka moyo lakini nikiona thread au post zenu ni lazima nitacheka na kufurahi.
raraa reree , Ambiele Kiviele wakuu mpo kwenye orodha ya watu wangu wa nguvu humu JF
Carlos The Jackal hahahhaa tuko pamoja sana Mkuu.
Greatest Of All Time , OKW BOBAN SUNZU , Kalpana na Scars ni Watu wangu wa nguvu hasa wale Vyura wanaoishi pale Bondeni Jangwani mnavyopambana nao huwa sina haja ya kuongeza maneno. #NguvuMoja
Wapo wengi sana na muda ni mchache na mambo ni mengi.
 
Sister Mawigi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!

Tubarikiwe sotee Kichaa akeee wabheja sana!!
Haya Chukua hiyoo sister mawigi Antonnia
FB_IMG_16783025577353383.jpg
 
Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.

Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
[emoji117]I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.

Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.

Bro au mzee wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
[emoji117]Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
[emoji117]Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla master[emoji123] intelli got your back comrade

team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
[emoji117]Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni National Anthem, Mzee wa kupambania, Bantu Lady Dahan, Mafian cartel, Analyse, Poor Brain, Mwachiluwi, ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.

waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa [emoji117]zikinifunza,kunijuza
[emoji117] Habarisha
[emoji117]Fundisha
[emoji117] Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
[emoji117] Big bro Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.

[emoji117] JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
[emoji117] CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
[emoji117] Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
[emoji117] paschal mayalla
[emoji117] LIKUD,
[emoji117] Genius Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
[emoji117] SteveMollel, hutu ni legend kwani toka enzi za anga la washenzi mpaka Zama za jirani wa goba. Still hajawai flop.
[emoji117]wazee wa hip hop, team Cannabis, makaveli10 and others
[emoji117] Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati Unique Flower, mpwayungu village, and great GENTAMYCINE, Chizi Maarifa na mkewe trudie lots of respect to you guys
[emoji117]Twin sisters Antonnia na Cha ukorofii Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
[emoji117] Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.
[emoji117] Carlos The Jackal,
Team movies and series, [emoji117]mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu [emoji817] Introsagvert, Living Pablo, Numbisa, Khantwe

[emoji117]Kuna Hawa wazee wa comment, ukija na hasira au umevurugwa. basi unaweza cheka bila sababu [emoji117] bro Extrovert, chalii was chuga Chaliifrancisco, mzee wa totoz mzabzab, mzee mwenye hekima, ambae haeleweki ana wasapoti au kuwapinga wazee wa kataa ndoa great Ushimen,

And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.

[emoji117] Don't forget iam a big fan of my self Intelligent businessman .View attachment 2544334
Atleast wewe umetaja watu tofauti na wanaotajwa kila siku, big up bro.
 
Back
Top Bottom