Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Aposto usije ukamtafuna mjomba ata kanumba alianza kama anko π€£π π π tunapiga π₯π₯π₯π₯π₯ tu, sie kwetu aunt ni upendo na furahaaa hatujui mabaya wala hatutaki mabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aposto usije ukamtafuna mjomba ata kanumba alianza kama anko π€£π π π tunapiga π₯π₯π₯π₯π₯ tu, sie kwetu aunt ni upendo na furahaaa hatujui mabaya wala hatutaki mabaya
Comment ndefu, hata mie unanikoshaga nisipokusoma sijisikii raha, hunaga baya nashangaa tu ban zinavyokuandama maana km kuna watu watukutu humu ni mie lkn ndo nina miaka kama minne sijalambwa banEh bana mi nna watu nahisi jf member wote maarufu wa MMU, nikianza na ma manzie Nakadori huyu mtoto ana elements organic sana ananikosha sana jinsi anavyobehave jukwaani@Amehlo huyu ni mjanja mjanja ila naamini hana baya Saint Anne haka kabinti ka kiefeso kalikuwa Ukwata enzi za chuo ila kakajanjarushwa sana na mji ila nakakubali kwenye kulinda rasilimali zake nyeti kanaepa sana mishale Madame B huyu mtoto ameiva kimaadili huwa sichoki kuona positive response zake humu jukwaani anaonekana bonge la wife material financial services huyu ni mtoto mzuri sana na bingwa wa chats za puppy love ila mzito wa maamuzi ingawa hana baya aishi sana. @Rebecca33 huyu ni kinara katika wale mabingwa wa mikazo na misuguano katika mada za men against women π€£π€£π€£ huyu akikuamulia mnajaza server na ugomvi hauishi. Kapeace hili jina tu linasadifu malkia mmoja mkali sana mithili ya mtalaka wa Dokta wa mitishamba, sema kama kawaida ya watoto wazuri maneno kidogo mapenzi mengi sana kopa nyingi sana zimfikie huyu mchumba. Demi hii mbegu sijui ni ya kimeru huwa inanifurahisha maana response yake ni kama computer tu WYSIWUG πππ ukiingia kifala unapata majibu ya kifala. Ukiingia kitimamu nakupa positive vibes ishi sana mtoto mzuri. luckyline huyu mtu bana yuko so self centered always huwa anafurahia ulimwengu wake tu na kwa wale team fisi huwa anatuacha na kaujumbe kuwa yuko wayoff our league na huwaW2 hataki mtu cheap ajipendekeze maana she can afford herself anataka ma Don tu π€£π€£π€£ sema hana baya huwa naheshimu misimamo yake tu. Lenie huyu mtoto inaonesha wa kishizo sana sema mtu wa kulay low ishi sana mtoto mzuri ukitambua wahuni tupo japo unamaindisha ma tall handsome and black π Hannah huyu mtoto anakata mapindi ila mjanja mjanja sana sema siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, kwa haraka haraka mi humuonaga sniper sema plans za ku intercept kifaa chake zipo πππ,,, you on my menu list ishi sana usife hadi special π± hacking operation itimie! Antonnia huyu dogo yupo neutral hana baya in most cases anakuwaga mzuka mwingi ishi sana. Mi amor huyu member sijui ndio kashasilimu naye maana watoto wa humu kwa kujisilimisha daily ID wanaziswap sema hanaga baya wengine niliowasahau msijiskie hovyo sababu wote nawapa kopa tu. Hamnaga kambaya
Sema Bantu Lady we ni mrembo kinyamaa yaniπAsante π π π Kilimbatzz mimi bado na nitakutaja. Huwa unanimwagia likes za kutosha, kulee kwetu kule. Pamoja sana Mkuu π
Huyo aunt yangu damu mojaaa, toka nitoke.. DNA moja kabisaaa πππ ndugu hawalaniAposto usije ukamtafuna mjomba ata kanumba alianza kama anko π€£
Ooh asante Extrovert mpaka naona aibu ππππ π π πSema Bantu Lady we ni mrembo kinyamaa yaniπ
Na hayana bayaaa , uzuri anao kichwani brain imeiva, elimu sio ya kuunga akili anazo na yupo humble hana roho ya lucifer mlimbwende huyooo ππSema Bantu Lady we ni mrembo kinyamaa yaniπ
Zile ban za majungu tu, π€£π€£π€£ si unajua kuna ma Mod wana wivu wakiona kila mrembo ananikubali!!!Comment ndefu, hata mie unanikoshaga nisipokusoma sijisikii raha, hunaga baya nashangaa tu ban zinavyokuandama maana km kuna watu watukutu humu ni mie lkn ndo nina miaka kama minne sijalambwa ban
Atakuwa anafaa kwenye vikao vya ujenzi wa taifa.Na hayana bayaaa , uzuri anao kichwani brain imeiva, elimu sio ya kuunga akili anazo na yupo humble hana roho ya lucifer mlimbwende huyooo ππ
Ma mod wanatamani wawe wewe yani π π π lakini ndio hivyo haiwezekani ..Zile ban za majungu tu, π€£π€£π€£ si unajua kuna ma Mod wana wivu wakiona kila mrembo ananikubali!!!
Basi viroho vinawapwita wakikuta hata umemuita mtu fala tu wanakutia selo.... Ni wivu tuu!!
ππ Kwakweli ni wivu tuZile ban za majungu tu, π€£π€£π€£ si unajua kuna ma Mod wana wivu wakiona kila mrembo ananikubali!!!
Basi viroho vinawapwita wakikuta hata umemuita mtu fala tu wanakutia selo.... Ni wivu tuu!!
Haiwezekani yani πππ kwahio kujifariji wanaona bora wanitie selo ili nisionane na wachumba kabisa hata mwezi mzima!Ma mod wanatamani wawe wewe yani π π π lakini ndio hivyo haiwezekani ..
Roho zinawauma sanaa, wanywe maji mengi ya baridiii kupoooza roho ya wivu π π πHaiwezekani yani πππ kwahio kujifariji wanaona bora wanitie selo ili nisionane na wachumba kabisa hata mwezi mzima!
Mod anatamani ahack ma files ili nayeye amwage madini ila ni ngumu sanaπRoho zinawauma sanaa, wanywe maji mengi ya baridiii kupoooza roho ya wivu π π π
Sema huna bayaaa umepooaa!!!Asante mkuu, I appreciate π.
Ila hapo kwenye u-meru sasa loh π€£π€£π€£π€£
Nafurahi kufahamu kwamba kuna mtu ananikubali, inaleta raha flani hivi moyoni.Sema huna bayaaa umepooaa!!!
Kula keki mama, watu wa March huwa wako super sana!Nafurahi kufahamu kwamba kuna mtu ananikubali, inaleta raha flani hivi moyoni.
Leo ni birthday yangu na wewe ni wa kwanza kunipa tabsamu leo.
SanteeeeeeKula keki mama, watu wa March huwa wako super sana!