Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.

Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
[emoji117]I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.

Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.

Bro au mzee wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
[emoji117]Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
[emoji117]Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla master[emoji123] intelli got your back comrade

team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
[emoji117]Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni National Anthem, Mzee wa kupambania, Bantu Lady Dahan, Mafian cartel, Analyse, Poor Brain, Mwachiluwi, fyddell Iceberg9 , Bantu Lady ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.

waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa [emoji117]zikinifunza,kunijuza
[emoji117] Habarisha
[emoji117]Fundisha
[emoji117] Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
[emoji117] Big bro Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.

[emoji117] JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
[emoji117] CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
[emoji117] Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
[emoji117] paschal mayalla
[emoji117] LIKUD,
[emoji117] Genius Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
[emoji117]wazee wa hip hop, team Cannabis, makaveli10 and others
[emoji117] Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati Unique Flower, mpwayungu village, and great GENTAMYCINE, Chizi Maarifa na mkewe trudie lots of respect to you guys
[emoji117]Twin sisters Antonnia na Cha ukorofii Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
[emoji117] Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.

Team movies and series, [emoji117]mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu [emoji817] Introsagvert, Living Pablo, Numbisa, Khantwe

My favorite threads starters, Mshana Jr, [emoji117]uzi wake kuhusu chumvi na maarifa mbalimbali kuhusu mambo ya rohoni.
[emoji117] 666 chata, uzi wake kuhusu walio wahi kupata pesa na kufilisika. Bro umepelekea watu kufunguka kuhusu mambo mengi kuhusu harakati za maisha na biashara. Barikiwa Sana mkuu. Bless kwa wachangiaji wote.
[emoji117] Walec, uzi wake kuhusu jinsi watu walivyoanza kukaa gheto, jomba sijui uliwaza nini[emoji848][emoji848].
Ila uzi wako umesaidia baadhi ya vijana au watu wanaotaka kuanza maisha/kujikwamua kutoka nyumbani.[emoji123][emoji123]

And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.
[emoji117]Wazee wa chama Cha comment mzabzab, Extrovert, Chaliifrancisco, Ushimen,
[emoji117]Bright Paula Paul, Mr kenice, mzee wa kimasihara rikiboy, Carlos The Jackal, Palina, madam Sky Eclat

[emoji117] Don't forget iam a big fan of my self Intelligent businessman .View attachment 2544334
Intelligent businessman thanks brother[emoji173]
 
Mtu wangu wa nguvu Antonnia , Bantu Lady Warembooo haswaaa na hawana roho ya lucifer, mdogo Lovelovie Tinsley hawana bayaaa.. wazee wangu wa nguvu Extrovert mrangi mzabzab hana noma na mtu huyuu.. alafu smart smart co founder wa mgahawa wa coffee Dr Lizzy bila kusahau mkuu wa intel Intelligent businessman na bwanaaa Poor Brain .. bila kusahahu mwanadamu kiumbe cha Mungu Aksha
Ankol National Anthem umetisha sana, huna baya kabisa Ankol na asante sana 😍😍😍😍 tunakupenda sana Ankol, hunaga mambo meusi kabisa.

Tunawaachia wengine wenye roho zao za Lucifer, wakiishi bitter life.
Kwetu raha na amani teleeeee
Nasemajeeeeeee Ankol unapendwa sanaaaaaaa....
 
Aunt maisha ni kuchaguuu.. tumeisha amua kuchaguaa furahaaaa ( joy ) na amaniiii na kufanya yanayotupa furaha kila siku na kila saaaaa 🔥🔥
 
Aunt maisha ni kuchaguuu.. tumeisha amua kuchaguaa furahaaaa ( joy ) na amaniiii na kufanya yanayotupa furaha kila siku na kila saaaaa 🔥🔥
Amina... kabisa Ankol ukichagua furaha, maisha yanakuwa murua. Unajali yako na wanaokupenda na unaowapenda. Sijajuta kukujua, uko mtu poa sana Ankol, uishi sana 🙏
 
Mtu wangu wa nguvu Antonnia , Bantu Lady Warembooo haswaaa na hawana roho ya lucifer, mdogo Lovelovie Tinsley hawana bayaaa.. wazee wangu wa nguvu Extrovert mrangi mzabzab hana noma na mtu huyuu.. alafu smart smart co founder wa mgahawa wa coffee Dr Lizzy bila kusahau mkuu wa intel Intelligent businessman na bwanaaa Poor Brain .. bila kusahahu mwanadamu kiumbe cha Mungu Aksha
Ankol National Anthem umetisha sana, huna baya kabisa Ankol na asante sana 😍😍😍😍 tunakupenda sana Ankol, hunaga mambo meusi kabisa.

Tunawaachia wengine wenye roho zao za Lucifer, wakiishi bitter life.
Kwetu raha na amani teleeeee
Nasemajeeeeeee Ankol unapendwa sanaaaaaaa....

Nakuja na list yangu ndefu sana wacha nichaji kimeo changu kwanza wapendwa wangu wanguvu 😘😘😘!

Ubarikiwe sana mjomba wangu wa kipekee mjomba mzunguu mjomba muelewa sanaaa!!
Ntarudii
 
Back
Top Bottom