Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Aunt maisha ni kuchaguuu.. tumeisha amua kuchaguaa furahaaaa ( joy ) na amaniiii na kufanya yanayotupa furaha kila siku na kila saaaaa πŸ”₯πŸ”₯
Kabesa mjombaaa no makasiriko hiaaaa no majungu stress tupa kuleeee! Hapa ni full amanii full maupendooo furaha kama yooutreeee,✌️✌️✌️✌️✌️!!
 
Ishi sana huna baya aposto 🀣
Aposto🀣🀣🀣🀣!! kumbe mjomba wangu ni aposto na auweeeeehhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
National Anthem ! Ataeleta mapepo yake ya ki lucifer hapa ni kukemeaa tuuu asheeeeendweeehh kwajena la Yesoooooo 🀣😊😊!!
 
Aposto🀣🀣🀣🀣!! kumbe mjomba wangu ni aposto na auweeeeehhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
National Anthem ! Ataeleta mapepo yake ya ki lucifer hapa ni kukemeaa tuuu asheeeeendweeehh kwajena la Yesoooooo 🀣😊😊!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tunapiga πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ tu, sie kwetu aunt ni upendo na furahaaa hatujui mabaya wala hatutaki mabaya
 
Aposto🀣🀣🀣🀣!! kumbe mjomba wangu ni aposto na auweeeeehhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜Š
National Anthem ! Ataeleta mapepo yake ya ki lucifer hapa ni kukemeaa tuuu asheeeeendweeehh kwajena la Yesoooooo 🀣😊😊!!
Ulikuwa hujui kuwa mjomba wako ni kijana wa kiefeso 🀣🀣🀣
 
Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.

Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
πŸ‘‰I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.

Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.

Bro au mzee wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
πŸ‘‰Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
πŸ‘‰Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla masterπŸ’ͺ intelli got your back comrade

team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
πŸ‘‰Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni National Anthem, Mzee wa kupambania, Bantu Lady Dahan, Mafian cartel, Analyse, Poor Brain, Mwachiluwi, fyddell Iceberg9 , Bantu Lady ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.

waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa πŸ‘‰zikinifunza,kunijuza
πŸ‘‰ Habarisha
πŸ‘‰Fundisha
πŸ‘‰ Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
πŸ‘‰ Big bro Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.

πŸ‘‰ JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
πŸ‘‰ CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
πŸ‘‰ Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
πŸ‘‰ paschal mayalla
πŸ‘‰ LIKUD,
πŸ‘‰ Genius Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
πŸ‘‰wazee wa hip hop, team Cannabis, makaveli10 and others
πŸ‘‰ Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati Unique Flower, mpwayungu village, and great GENTAMYCINE, Chizi Maarifa na mkewe trudie lots of respect to you guys
πŸ‘‰Twin sisters Antonnia na Cha ukorofii Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
πŸ‘‰ Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.

Team movies and series, πŸ‘‰mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu πŸ’― Introsagvert, Living Pablo, Numbisa, Khantwe

My favorite threads starters, Mshana Jr, πŸ‘‰uzi wake kuhusu chumvi na maarifa mbalimbali kuhusu mambo ya rohoni.
πŸ‘‰ 666 chata, uzi wake kuhusu walio wahi kupata pesa na kufilisika. Bro umepelekea watu kufunguka kuhusu mambo mengi kuhusu harakati za maisha na biashara. Barikiwa Sana mkuu. Bless kwa wachangiaji wote.
πŸ‘‰ Walec, uzi wake kuhusu jinsi watu walivyoanza kukaa gheto, jomba sijui uliwaza niniπŸ€”πŸ€”.
Ila uzi wako umesaidia baadhi ya vijana au watu wanaotaka kuanza maisha/kujikwamua kutoka nyumbani.πŸ’ͺπŸ’ͺ

And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.
πŸ‘‰Wazee wa chama Cha comment mzabzab, Extrovert, Chaliifrancisco, Ushimen,
πŸ‘‰Bright Paula Paul, Mr kenice, mzee wa kimasihara rikiboy, Carlos The Jackal, Palina, madam Sky Eclat

πŸ‘‰ Don't forget iam a big fan of my self Intelligent businessman .View attachment 2544334
mpwayungu village
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tunapiga πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ tu, sie kwetu aunt ni upendo na furahaaa hatujui mabaya wala hatutaki mabaya
Kam kauwaaaa mjomba hatuna mbambambaaaa hatuna uswahiliiii!!!!!
Hapa nasubiria mpunga utiki nifwatwe na ankoli Wangu waukweee sana mieeeπŸ’ƒ!
 
Eh bana mi nna watu nahisi jf member wote maarufu wa MMU, nikianza na ma manzie Nakadori huyu mtoto ana elements organic sana ananikosha sana jinsi anavyobehave jukwaani@Amehlo huyu ni mjanja mjanja ila naamini hana baya Saint Anne haka kabinti ka kiefeso kalikuwa Ukwata enzi za chuo ila kakajanjarushwa sana na mji ila nakakubali kwenye kulinda rasilimali zake nyeti kanaepa sana mishale Madame B huyu mtoto ameiva kimaadili huwa sichoki kuona positive response zake humu jukwaani anaonekana bonge la wife material financial services huyu ni mtoto mzuri sana na bingwa wa chats za puppy love ila mzito wa maamuzi ingawa hana baya aishi sana. @Rebecca33 huyu ni kinara katika wale mabingwa wa mikazo na misuguano katika mada za men against women 🀣🀣🀣 huyu akikuamulia mnajaza server na ugomvi hauishi. Kapeace hili jina tu linasadifu malkia mmoja mkali sana mithili ya mtalaka wa Dokta wa mitishamba, sema kama kawaida ya watoto wazuri maneno kidogo mapenzi mengi sana kopa nyingi sana zimfikie huyu mchumba. Demi hii mbegu sijui ni ya kimeru huwa inanifurahisha maana response yake ni kama computer tu WYSIWUG πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukiingia kifala unapata majibu ya kifala. Ukiingia kitimamu nakupa positive vibes ishi sana mtoto mzuri. luckyline huyu mtu bana yuko so self centered always huwa anafurahia ulimwengu wake tu na kwa wale team fisi huwa anatuacha na kaujumbe kuwa yuko wayoff our league na huwaW2 hataki mtu cheap ajipendekeze maana she can afford herself anataka ma Don tu 🀣🀣🀣 sema hana baya huwa naheshimu misimamo yake tu. Lenie huyu mtoto inaonesha wa kishizo sana sema mtu wa kulay low ishi sana mtoto mzuri ukitambua wahuni tupo japo unamaindisha ma tall handsome and black πŸ˜€ Hannah huyu mtoto anakata mapindi ila mjanja mjanja sana sema siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, kwa haraka haraka mi humuonaga sniper sema plans za ku intercept kifaa chake zipo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,,, you on my menu list ishi sana usife hadi special 🐱 hacking operation itimie! Antonnia huyu dogo yupo neutral hana baya in most cases anakuwaga mzuka mwingi ishi sana. Mi amor huyu member sijui ndio kashasilimu naye maana watoto wa humu kwa kujisilimisha daily ID wanaziswap sema hanaga baya wengine niliowasahau msijiskie hovyo sababu wote nawapa kopa tu. Hamnaga kambaya
 
Asante mkuu, I appreciate πŸ™.
Ila hapo kwenye u-meru sasa loh 🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom