Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.
Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
[emoji117]I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.
Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.
Bro au mzee
wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
[emoji117]Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
[emoji117]Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla master[emoji123] intelli got your back comrade
team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
[emoji117]Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni
National Anthem,
Mzee wa kupambania,
Bantu Lady Dahan,
Mafian cartel,
Analyse,
Poor Brain,
Mwachiluwi,
fyddell Iceberg9 ,
Bantu Lady ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.
waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa [emoji117]zikinifunza,kunijuza
[emoji117] Habarisha
[emoji117]Fundisha
[emoji117] Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
[emoji117] Big bro
Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.
[emoji117]
JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
[emoji117]
CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
[emoji117]
Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
[emoji117]
paschal mayalla
[emoji117]
LIKUD,
[emoji117] Genius
Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
[emoji117]wazee wa hip hop, team
Cannabis,
makaveli10 and others
[emoji117] Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati
Unique Flower,
mpwayungu village, and great
GENTAMYCINE,
Chizi Maarifa na mkewe
trudie lots of respect to you guys
[emoji117]Twin sisters
Antonnia na Cha ukorofii
Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
[emoji117]
Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.
Team movies and series, [emoji117]mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu [emoji817]
Introsagvert,
Living Pablo,
Numbisa,
Khantwe
My favorite threads starters,
Mshana Jr, [emoji117]uzi wake kuhusu chumvi na maarifa mbalimbali kuhusu mambo ya rohoni.
[emoji117]
666 chata, uzi wake kuhusu walio wahi kupata pesa na kufilisika. Bro umepelekea watu kufunguka kuhusu mambo mengi kuhusu harakati za maisha na biashara. Barikiwa Sana mkuu. Bless kwa wachangiaji wote.
[emoji117]
Walec, uzi wake kuhusu jinsi watu walivyoanza kukaa gheto, jomba sijui uliwaza nini[emoji848][emoji848].
Ila uzi wako umesaidia baadhi ya vijana au watu wanaotaka kuanza maisha/kujikwamua kutoka nyumbani.[emoji123][emoji123]
And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.
[emoji117]Wazee wa chama Cha comment
mzabzab,
Extrovert,
Chaliifrancisco,
Ushimen,
[emoji117]Bright
Paula Paul,
Mr kenice, mzee wa kimasihara
rikiboy,
Carlos The Jackal,
Palina, madam
Sky Eclat
[emoji117] Don't forget iam a big fan of my self
Intelligent businessman .
View attachment 2544334