Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Duh, hawa watu ni hatari hata ukiandika utumbo wenyewe wanalaiki tu! Hata hapa sasa vitalaiki! Huwa najiuliza sijui ni vi me au ke?
 
raraa reree mtaani kwetu ni celebrity kabisa kwa sababu ya likes tu anazo toa JF

Anyways kwa ufupi hawa jamaa wanaonekana ni watu wanaoishi maisha yenye furaha sana..
 
Bila Extrovert na Half american huu Uzi ni batiliπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. Anyways Asante mkuu TUKANA UONE
Tatizo Extrovert siku hizi amepunguza likes sio kama zamani halafu na yeye ameingia katika mkumbo wa kuwa critique kwenye comments zake ila.yeye pia ana staili kuwemo kwenye list.
Kuna brother anaitwaga @Kubanga siku hizi simuoni hapa jf. Huyu jamaa pia huwaga yupo smart sana kwenye comments zake. Siku zote anatoaga positive comment in any situation.
 
Hivi ni mimi tu ambaye sitaki like zisizo na maana? Mimi huwa natoa like nikipenda nilichosoma ila kuna watu huwa nahisi wanatoa tu like bila hata kusoma kilichoandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…