Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa, nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio lazima

Kwanza tujue maisha usiyachukulie serious all the time kwani yataboa,,,so sometime tunakuja kitofauti na kufurahia Maisha

Here we go

Wa kwanza ni Evelyn Salt huyu nampenda kwa comment zake za kibabe,,yaan ana kauli flan ambazo zina ubabe na umwamba fulani mpaka huwa nahisi kuwa ni mwamba huyu na sio madam

Nanyamaza kimya dakika moja nampa heshima yake

Wa pili ni Mademoiselle huyu ni baby girl,,,nilianza kuvutiwa na comment zake zenye busara na hekima ingawa siku hizi hujifanya gangstar sometime,,,na yupo smart sana,,na kupitia usmart wake kafanikiwa kuniita mimi faza wake sijui lengo lake nisiruke nae 😂😂😂

WA tatu ni Demi huyu yupo cool sana na inaonyesha sio muongeaje sana,, i like her

Wa nne Kalpana semaji letu wanasimba la jf,,,kwanza heshima kwake kwa dakika moja ya utulivu, i like her

Wa tano To yeye huyu bwana nampenda kwa sababu haeleweki yaani hatabiriki,,yaan ana mambo mengi, na kumpenda huyu inabidi uwe mkomavu na muelewa sana, hutakiwi kuwa na wivu nae kabisa yaani la sivyo utakufa mapema

Na wa sita ephen_ yupo social sana na anapenda kucheka mda wote,,,napenda watu ambao wapo social sana labda huenda kwakuwa mimi nipo hivyo pia,,,i like her

That's it for 2day

Ni hayo tu!
 
ephen ni kama pesa anapendwa na kukubalika na kila mtu humu jukwaani. Huyo ni First lady wenu ajaye.kwa hiyo usije vuka mstari wa kumkubali maana utakuwa unatafuta ugomvi na maumivu makali na kupigwa bila kujuwa umepigwa na nani na kutoka wapi.

ephen ephen ephen .
 
ephen ni kama pesa anapendwa na kukubalika na kila mtu humu jukwaani. Huyo ni First lady wenu ajaye.kwa hiyo usije vuka mstari wa kumkubali maana utakuwa unatafuta ugomvi na maumivu makali na kupigwa bila kujuwa umepigwa na nani na kutoka wapi.

ephen ephen ephen .
Kuwa na amani chief,,usikonde kabisa
 
Back
Top Bottom