Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Salamu nimeamua kumwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Nyamuswa,mimi ni mwendo wa ukauzu tu!



Leo kwa moyo mkunjufu kabisa naomba niwape Shara auti hawa watu!

1. raraa reree

2. min -me

3. Leejay49


Hawa watu ndiyo wanaongoza kwa kutoa "LIKES" nyingi kwenye nyuzi za members humu JF,sidhani kama kuna member ambaye hana LIKES kutoka kwa hawa watu!.

HESHIMA KWENU

Mimi binafsi nawakubali sana na ninathamini mchango wenu wa LIKES kwenye nyuzi zangu!

Pamoja sana!
Duh, hawa watu ni hatari hata ukiandika utumbo wenyewe wanalaiki tu! Hata hapa sasa vitalaiki! Huwa najiuliza sijui ni vi me au ke?
 
Bila Extrovert na Half american huu Uzi ni batili😃😃.. Anyways Asante mkuu TUKANA UONE
Tatizo Extrovert siku hizi amepunguza likes sio kama zamani halafu na yeye ameingia katika mkumbo wa kuwa critique kwenye comments zake ila.yeye pia ana staili kuwemo kwenye list.
Kuna brother anaitwaga @Kubanga siku hizi simuoni hapa jf. Huyu jamaa pia huwaga yupo smart sana kwenye comments zake. Siku zote anatoaga positive comment in any situation.
 
Hivi ni mimi tu ambaye sitaki like zisizo na maana? Mimi huwa natoa like nikipenda nilichosoma ila kuna watu huwa nahisi wanatoa tu like bila hata kusoma kilichoandikwa.
 
Back
Top Bottom