Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah😂😂 mbona nimeacha sikuizi lakini
Vipi lakini unaendeleaje big ciccy🌹
Sema sikuizi sishindi sana humu, so kusoma comments za watu nadra sana.. Hua nareact kila post na comment nikishaisoma😃😃..Kwanini uliacha sasa
Mie nitakutafuta siku moja unielekeze ulikuwa unawezaje kulike comments zote vile 😆
Naendelea vizuri,habari ya wewe mdogo angu
Baby girl ushaanza mambo yako 😂😂Oya weee sio poa....faza faza
Ni kweli mimi sio muongeaji sana😅😅.Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa, nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio lazima
Kwanza tujue maisha usiyachukulie serious all the time kwani yataboa,,,so sometime tunakuja kitofauti na kufurahia Maisha
Here we go
Wa kwanza ni Evelyn Salt huyu nampenda kwa comment zake za kibabe,,yaan ana kauli flan ambazo zina ubabe na umwamba fulani mpaka huwa nahisi kuwa ni mwamba huyu na sio madam
Nanyamaza kimya dakika moja nampa heshima yake
Wa pili ni Mademoiselle huyu ni baby girl,,,nilianza kuvutiwa na comment zake zenye busara na hekima ingawa siku hizi hujifanya gangstar sometime,,,na yupo smart sana,,na kupitia usmart wake kafanikiwa kuniita mimi faza wake sijui lengo lake nisiruke nae 😂😂😂
WA tatu ni Demi huyu yupo cool sana na inaonyesha sio muongeaje sana,, i like her
Wa nne Kalpana semaji letu wanasimba la jf,,,kwanza heshima kwake kwa dakika moja ya utulivu, i like her
Wa tano To yeye huyu bwana nampenda kwa sababu haeleweki yaani hatabiriki,,yaan ana mambo mengi, na kumpenda huyu inabidi uwe mkomavu na muelewa sana, hutakiwi kuwa na wivu nae kabisa yaani la sivyo utakufa mapema
Na wa sita ephen_ yupo social sana na anapenda kucheka mda wote,,,napenda watu ambao wapo social sana labda huenda kwakuwa mimi nipo hivyo pia,,,i like her
That's it for 2day
Ni hayo tu!
Acha basi kutoa siriKuna wengine umewataja hapo ni wa kiume...
Hii sio comment ya mwanamke, ni ya fundi wa ac za magari.....Oya weee sio poa....faza faza
Umeng'ang'ania wanawake 6 tu!😂Hii sio comment ya mwanamke, ni ya fundi wa ac za magari.....
Nasema hivi jf kuna wanawake sita tu 😹😹😹😹😹
Ni sita na wanajulikana hadi sura zao.....the rest ni miambaUmeng'ang'ania wanawake 6 tu!😂
Mimi nipo kwenye hao 6Ni sita na wanajulikana hadi sura zao.....the rest ni miamba
Thubutuuuuu 😹😹😹 upo kwenye hawa laki 8Mimi nipo kwenye hao 6
🤸Yote kheri..!Thubutuuuuu 😹😹😹 upo kwenye hawa laki 8
Ilimradi uzima 🤣🤣🤣🤸Yote kheri..!
TukowengiNiachieni ephen na wala sitaki kurushwa rushwa moyo kama mpira wa kikapu.
Hiyo Avatar ni wewe mtupu!Ilimradi uzima 🤣🤣🤣
Ndioo ana nyota naoo ephenUmeng'ang'ania wanawake 6 tu!😂
Aorodheshe ma bibi??Eti unapenda watu walio social sana 🤔 afu umeorodhesha mashangazi tu
Karibu halotel 🤕