Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Ooh rafiki angu mambo ya zamani unayaibua tenaPole kwani nimepungukiwa nini humu hata nisipotajwa,?
Huwa siishi kufata mikumbo bali huwa najikubali mwenyewe na huo ndiyo uanaume [emoji2]
Ramadhan mubarak 🙏