fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
basi acha jazibaš¤£Mkuu kwamba wewe ndiwe unajua kuliko niliyeandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi acha jazibaš¤£Mkuu kwamba wewe ndiwe unajua kuliko niliyeandika?
Hawana baya na mtu! Amani nyingi kwao.Salamu nimeamua kumwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Nyamuswa,mimi ni mwendo wa ukauzu tu!
Leo kwa moyo mkunjufu kabisa naomba niwape Shara auti hawa watu!
1. raraa reree
2. min -me
3. Leejay49
Hawa watu ndiyo wanaongoza kwa kutoa "LIKES" nyingi kwenye nyuzi za members humu JF,sidhani kama kuna member ambaye hana LIKES kutoka kwa hawa watu!.
HESHIMA KWENU
Mimi binafsi nawakubali sana na ninathamini mchango wenu wa LIKES kwenye nyuzi zangu!
Pamoja sana!
SIina mkuu tangu jana nduo natia mguu humuIla muda wa kuzurura JF unao wa kutosha mkuu!
Nakazia hapa...Salamu nimeamua kumwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Nyamuswa,mimi ni mwendo wa ukauzu tu!
Leo kwa moyo mkunjufu kabisa naomba niwape Shara auti hawa watu!
1. raraa reree
2. min -me
3. Leejay49
Hawa watu ndiyo wanaongoza kwa kutoa "LIKES" nyingi kwenye nyuzi za members humu JF,sidhani kama kuna member ambaye hana LIKES kutoka kwa hawa watu!.
HESHIMA KWENU
Mimi binafsi nawakubali sana na ninathamini mchango wenu wa LIKES kwenye nyuzi zangu!
Pamoja sana!
Jamani ššWana like mpaka unaweza shawishika kwamba unacho post ni cha maana!! š
Na wewe unatoa nini mkuu?Salamu nimeamua kumwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Nyamuswa,mimi ni mwendo wa ukauzu tu!
Leo kwa moyo mkunjufu kabisa naomba niwape Shara auti hawa watu!
1. raraa reree
2. min -me
3. Leejay49
Hawa watu ndiyo wanaongoza kwa kutoa "LIKES" nyingi kwenye nyuzi za members humu JF,sidhani kama kuna member ambaye hana LIKES kutoka kwa hawa watu!.
HESHIMA KWENU
Mimi binafsi nawakubali sana na ninathamini mchango wenu wa LIKES kwenye nyuzi zangu!
Pamoja sana!
AhhahahhNikiwa nagombana na mtu wachague upande wa kukaa siyo wanalike comment yangu na comment ya adui yangu niwaeleweje?
Mm huwa nafikiri hvyohvyoSisi ni members wote, kasoro raraa reree yeye ni robot.. Au raraa reree unasemaje hapa[emoji51][emoji51][emoji23][emoji23]
Ngoja aje aseme mwenyewe.. raraa rereeMm huwa nafikiri hvyohvyo
Em nenda unitag mkuu na Mimi nione aliandika NiniššKuna siku rare raree alianzisha Uzi nilicheka mno