Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

Nipe andiko lolote linalosema kujichukulia sheria ni dhambi, nipeee halafu nkupigia chap.
Si hapo juu mtumishi kasema japo ni kwamba tu mwili ni hekalu ila haijasema kabisa hekalu lisipigiwe nyeto.....

Halafu ina maana nyeto inawekwa kundi moja na uzinzi plus uasherati??? Nmechanganyikiwa kwakweli japo sijawahi piga
 
Si hapo juu mtumishi kasema japo ni kwamba tu mwili ni hekalu ila haijasema kabisa hekalu lisipigiwe nyeto.....

Halafu ina maana nyeto inawekwa kundi moja na uzinzi plus uasherati??? Nmechanganyikiwa kwakweli japo sijawahi piga
🤣🤣🤣🤣sema hakyanani hujawahi kupiga! Hadi vile vidude ulisema umeagiza ili kukurahisishia kazi!!
 
Watu wamefunga ndoa na mche wa sabuni toka balehe hadi uzee na hawajawa vipofu....
Kupitia fani hiyo washapita hadi na akina beyonce
 
Hakuna jukwaa linaloidhihaki nyeto kama JamiiForums.

Na pamoja na umoja wenu wa kuisema ila ngoma bado inaendelea kujikusanyia wateja...

Kibaya zaidi unavyoihubiria au kuiongelea ndio inazidi kuwa na Followers 😅
 
😃😃😃 hakuna watu wanafiki duniani hapa kama walokole na wavaa kobazi utadhani wao wana mbingu zao special, wazee nyeto inafaida nyingi kuliko hasara..
 
Tunaomba kufahamu umri wake huyo mwamba aliepigwa hii adhabu na mungu.. Asking for musterbation master aged 68 years!
 
1. Hiyo dhana ya kwamba punyeto huleta upofu iliyoibuka marekani ilishathibitishwa kuwa ni uongo. Usipotoshe watu.
Nimekwamba hiyo ni habari ya kweli, wewe unaiita "dhana"?
2. Punyeto ni uraibu mbaya, waathirika wanapaswa kusaidiwa na sio kunangwa.
Wamesaidiwa tayari. Wafuate nyayo za huyo aliyepata kipigo. Alitubu, akaacha. Sasa anaishi kwa kufuata mapenzi ya Mungu.
Wapiga punyeto ni waathirika, sio wahalifu.
Mbele za Mungu ni kama wahalifu tu. Ila Mungu ni mwenye huruma, wakitubu wanasamehewa
3. Hatuchagui kuingia kwenye uraibu, uraibu unaharibu jinsi akili inavyofanya kazi, unakufanya kuwa tegemezi. Ndio maana kutoka ni mchakato.
Ukiamua kutubu na kukubali Yesu atawale maisha yako, atakupa nguvu ya kutoka kwa urahisi
Mathayo 11:28-30
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."
4. Kama Mungu hataki watu wapige punyeto, asiruhusu watu wapige punyeto!
Mungu ametupa uhuru wa kuchagua mema au mabaya.
Anakupa vichochezi, ubongo dhaifu na hisia za ngono halafu hataki upige punyeto?
Vichochezi vipo lakini pia Mungu amekupa njia ya kuviepuka
1 Wakorintho 7:2-6
Ili kuepuka zinaa, kila mwanaume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
 
Kaole sanaa group??
 
Kumbe unawajua wazibua mitaro
 
Mimi mwenyewe ni dactaru ndo nakuambia sasa punyeto ina madhara kama yalivyo.maji...
Uki exceed limit utasumbuliwa tu
Fanyeni utafiti sasa. Nakumbuka tulikuwa tukipiga punyeto mpaka kichwa kinauma ikiwemo pembenii ya macho. Sasa kwa nini punyeto isiathiri macho?
 
Polee sana ulkua umejchua Kwa mida gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…