Apata kipigo kwa kufanya masturbation(kujichua)

Mnamchafua mungu tu,

Acha punyeto ina madhara,ungu hahusiki na nyege zako
 
Mnamchafua mungu tu,

Acha punyeto ina madhara,ungu hahusiki na nyege zako
Mungu anajishughulisha na mambo yetu na anapenda tumtwike mambo yanayotufadhaisha ili atupumzishe.
1 Petro 5:7
Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye anajishughulisha sana na mambo yenu.
Mt 11:28-30
Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha
 
Hii siyo scientific.
You have not proved the case yet you are making conclusions.
Labda general health iliongezeka alipoacha kujichua.
Lakini kusema kwamba watu wanaojichua hawawezi kutazama mwanga wa mshumaa,that is a joke.
 
Yes, masturbation is a sin because it feeds lustful thoughts, which Jesus warned against. 'But I tell you that anyone who looks at a woman lustfully has already committed adultery with her in his heart.' — Matthew 5:28.
Exactly
 
Hii siyo scientific.
Sio kila jambo linaweza kuthibitishwa kisayansi. A good example ni utendaji kazi wa mapepo. Suala la mapepo science "haioni ndani." Mtu mwenye pepo, scientists wanaishia tu kusema ana matatizo ya afya ya akili 🙂
You have not proved the case yet you are making conclusions.
Labda general health iliongezeka alipoacha kujichua.
Conclusion nimefanya kwa sababu hali yake ilibadilika ikawa mbaya siku ya 14, kuonyesha dawa aliyopewa haikumsaidia. Pili, hali ya macho yake ilirejea kuwa nzuri kabisa immediately after repentance. Aliacha kujichua baada ya kutubu, sio kabla, Kwahiyo hakuna general health iliyoongezeka kabla.
By the way, kama wewe ni Mkristo, kumbuka jinsi Paulo alivyomkemea Elima, mchawi na nabii wa uongo, aliyejaribu kupinga Injili. Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkemea kwa kusema:
“Tazama, sasa mkono wa Bwana u juu yako, nawe utakuwa kipofu usione jua kwa muda.”
(Matendo 13:11)
Mara moja, Elima akafunikwa na giza, akaanza kuhangaika akitafuta mtu wa kumshika mkono. Hapo science itakupa jibu?
Lakini kusema kwamba watu wanaojichua hawawezi kutazama mwanga wa mshumaa,that is a joke.
Sijasema "wanaojichua", nimezungumza tukio lililompata mtu mmoja ninayemfahamu fika, aliyeshindwa kuona mwanga wa aina yoyote. Lakini baada ya kutubu, hali ikarejea na kuwa ya kawaida. It's a joke kwako kama huamini mambo ya rohoni na jinsi Mungu anavyojishughulisha na maisha ya watu wake.
Tafakari Andiko hili:
Yn 5:14
Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.

Jiulize kwanini Yesu anahusisha ugonjwa aliokuwa nao mtu huyo na kutenda dhambi.
 
Kumbe unawajua wazibua mitaro
Wametajwa hapa
Warumi 1:26-29
"Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao. Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa. Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa..."
 
Hadhi ni two ways, wapo walio niona Nina hadhi kwa comment hii hii ambayo wewe unaona Haina hadhi. Tukubaliane hatuwezi kuwa sawa kwenye mitazamo.
Jina "John" mizizi yake ni katika Biblia. Kwa Kiebrania (Hebrew) ni יוֹחָנָן (Yochanan). Ni jina linalomkumbusha mwenye jina kwamba Mungu ni mwenye neema. Sasa mtu amepata neema kutoka kwa Mungu ya kupona macho baada ya kutubu, wewe unasema ni tatizo la msingi la afya ya akili?! Ndio sababu nikasema unajishushia hadhi. Ila kama ulikuwa hujui maana ya jina John, usijali.
 
Yaani najiuliza wewe ulijuaje kuwa wazibua mitaro ni watu wa aina gani
 
Yaani najiuliza wewe ulijuaje kuwa wazibua mitaro ni watu wa aina gani
Kwani mimi naishi mbinguni, mkuu? Niko duniani, napita mitaani, nasikia yanayosemwa vijiweni. Na pia natumia akili kupambanua misemo 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…