MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Dawa ya punyeto ni kuacha na kuhakikisha unakuwa na mwanamke wako wa kukupa mbususu kila kunapotokea ulazima.1. Hiyo dhana ya kwamba punyeto huleta upofu iliyoibuka marekani ilishathibitishwa kuwa ni uongo. Usipotoshe watu.
2. Punyeto ni uraibu mbaya, waathirika wanapaswa kusaidiwa na sio kunangwa. Wapiga punyeto ni waathirika, sio wahalifu.
3. Hatuchagui kuingia kwenye uraibu, uraibu unaharibu jinsi akili inavyofanya kazi, unakufanya kuwa tegemezi. Ndio maana kutoka ni mchakato.
4. Kama Mungu hataki watu wapige punyeto, asiruhusu watu wapige punyeto! Anakupa vichochezi, ubongo dhaifu na hisia za ngono halafu hataki upige punyeto?
Ina maana hata tumbili wakipiga wanakua wamekosa demu MamaSamia2025Dawa ya punyeto ni kuacha na kuhakikisha unakuwa na mwanamke wako wa kukupa mbususu kila kunapotokea ulazima.
Naomba ufafanuzi kidogo hapa mtumishiKujichua ni tendo lililo kinyume na maumbile
Ni kinyume na maumbile kwa sababu, mwanadamu hakuumbwa ajiridhishe mwenyewe(man is not a self-sex being). Ndio sababu kujichua kunaleta madhara mwilini.Naomba ufafanuzi kidogo hapa mtumishi
Utakuwa ni wewe mwenyewe, ni ngumu sana mtu usiyemfahamu akakusimulia hayo labda tu wale wasanii wa madhabahu za manabii na mitume akina Buludoza.Nakuletea habari nyingine ya ukweli kabisa isiyochanganyika na chembe yoyote ya uongo. Hivi majuzi, kuna mtu alipata kipigo kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kujichua(punyeto). Mtu huyu alionywa mara nyingi kuwa kujichua(masturbation) ni dhambi, lakini aliendelea tu kukaidi. Nani alimpa kipigo?
Mtu huyu alipigwa na Mungu mwenyewe. Ilikuwa hivi: alianza kuhisi hali isiyo ya kawaida katika macho yake. Akaenda kufanyiwa check-up katika hospitali kubwa, ya kisasa, yenye daktari aliyebobea katika kutibu magonjwa ya macho. Akaambiwa kuna vipele vipele vidogo pembezoni mwa macho (kwa ndani). Akapewa dawa ya kutumia wiki tatu na kuhakikishiwa kuwa shida hiyo itaisha kabisa.
Akaanza kutumia dawa, wiki ya kwanza ikapita bila nafuu. Wiki ya pili akaanza kusikia ahueni. Siku ya 14, hali ikabadilika ghafla. Akawa hawezi kabisa kutazama mwanga wowote ule - wa jua, wa tochi, wa taa, na hata mwanga wa simu! Akitazama tu mwanga kidogo unayachoma macho yake kama sindano na kumsababishia maumivu makali sana. Hivyo ikabidi awe anafumba macho tu.
Baadaye akang'amua dhambi ya kujichua ndiyo iliyomsababishia shida hiyo. Akatubu sana kwa machozi na kumwahidi Mungu kuwa hatarudia tena. Ndani ya dakika chache tatizo hilo likaisha! Akaanza kuona vizuri kabisa bila kusumbuliwa na mwanga. Hakuendelea tena kutumia ile dawa na mpaka leo hajasikia tatizo lolote katika macho yake. Tangu siku ile aliacha kujichua na anaendelea kuishi maisha yanayompendeza Mungu.
dronedrake hajaiona hiii? yuko wapi kaka yako?Yaani kuna watu seriously wanakaa wanatudanganya kuhusu mazara ya punyeto seriously....
Mimi nikikuta mtu anamsema mwenzake kuhusu punyeto kwanza naweza mchapa vibao alaaaah..
Hivi mnajua faida ya punyeto.
Uwezi jua mpaka siku ukaja kupata magonjwa ya STDs na STIs.
Kwanini mnaleta story za vijiweni kuhusu madhara ya punyeto...
Wakuu wanasema everything is harmful kama tuu kita exceed ile limit...
Sasa mpaka anafikia mtu anapigwa kisa punyeto what kind of that behaviour..
Mnajua ni kiasi gani punyeto inaokoa matumizi ya pesa..
Hvi mnajua ulevi wa ngono ndio unapelekea watoto wa mtaani.
Mimba za utotoni...
Single maza
Magonjwa na kazarika
Ndugu jamaa na marafiki kama bado upo katoka rika la kujitafuta piga punyeto kwa kiasi.
Kama ni mtu upo katika ndoa una constantly timetable ya kupata kitumbua wewe ukipiga punyeto huna budi kupigwa mpaka uzimii huo utakua ni uvunjaji wa sheria
Mwalimu, vipi kuhusu kumwaga nje. Tunaruhusiwa?Yaani kuna watu seriously wanakaa wanatudanganya kuhusu mazara ya punyeto seriously....
Mimi nikikuta mtu anamsema mwenzake kuhusu punyeto kwanza naweza mchapa vibao alaaaah..
Hivi mnajua faida ya punyeto.
Uwezi jua mpaka siku ukaja kupata magonjwa ya STDs na STIs.
Kwanini mnaleta story za vijiweni kuhusu madhara ya punyeto...
Wakuu wanasema everything is harmful kama tuu kita exceed ile limit...
Sasa mpaka anafikia mtu anapigwa kisa punyeto what kind of that behaviour..
Mnajua ni kiasi gani punyeto inaokoa matumizi ya pesa..
Hvi mnajua ulevi wa ngono ndio unapelekea watoto wa mtaani.
Mimba za utotoni...
Single maza
Magonjwa na kazarika
Ndugu jamaa na marafiki kama bado upo katoka rika la kujitafuta piga punyeto kwa kiasi.
Kama ni mtu upo katika ndoa una constantly timetable ya kupata kitumbua wewe ukipiga punyeto huna budi kupigwa mpaka uzimii huo utakua ni uvunjaji wa sheria
BlessGlad we’re on the same page!
Halafu wanawake wengi ndo hawapendi watu wanyetuke wakat wao kmoja tuu knatugarim bei ndogo ni kumi na tano wakat nyeto ata bando la jelo linatosha kutoa wazunguSio kwa kupenda punguzeni bei ya mbususu muone kama tutanyetuka na mlenda vuguvugu
Bwana wee nasha ga baadae wanaa za lalamika oh wanaume hawawezi kugegeda....sasa mazoezi tunatafanyia wapi wakati mbususu bei ipo juu.Halafu wanawake wengi ndo hawapendi watu wanyetuke wakat wao kmoja tuu knatugari bei ndogo ni kumi na tano wakat nyeto ata bando la jelo linatosha kutoa wazungu
💪Bwana wee nasha ga baadae wanaa za lalamika oh wanaume hawawezi kugegeda....sasa mazoezi tunatafanyia wapi wakati mbususu bei ipo juu.
Washushe bei ya mbususu waone tutakavyukuwa wataalam wakuwapa raha
Ni vitu vidogo kama hivi ndo huthibitisha kwamba mungu hayupo.Nimekwamba hiyo ni habari ya kweli, wewe unaiita "dhana"?
Wamesaidiwa tayari. Wafuate nyayo za huyo aliyepata kipigo. Alitubu, akaacha. Sasa anaishi kwa kufuata mapenzi ya Mungu.
Mbele za Mungu ni kama wahalifu tu. Ila Mungu ni mwenye huruma, wakitubu wanasamehewa
Ukiamua kutubu na kukubali Yesu atawale maisha yako, atakupa nguvu ya kutoka kwa urahisi
Mathayo 11:28-30
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."
Mungu ametupa uhuru wa kuchagua mema au mabaya.
Vichochezi vipo lakini pia Mungu amekupa njia ya kuviepuka
1 Wakorintho 7:2-6
Ili kuepuka zinaa, kila mwanaume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.