shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
ππππππππYani sasa wanawake hapo ndio usiwambie. Make wangu kila siku chaneli yake ni ya suguye mara ukute ameweka mkono kwenye tivii aeti kaambiwa na suguye Yani huwa nachekea moyoni nasema hiiii!Walokole na utahira ni damu damu
Yani mwamposa anatuona kama makali yakeHivi Mwamposa anatuonaje sisi jamani?
Mpige marafu hawachelewi kutoa mali za familia kuwapa hawa manabii uchwaraππππππππYani sasa wanawake hapo ndio usiwambie. Make wangu kila siku chaneli yake ni ya suguye mara ukute ameweka mkono kwenye tivii aeti kaambiwa na suguye Yani huwa nachekea moyoni nasema hiiii!
π€£π€£π€£π€£,yaani hii noma.Nacheka lakini naogopa sana π π π
Eti anasikia tumbo linavuta
Yani mwamposa anatuona kama makali yake
Hawezi ananijua aise .Sijui wanawake wanaakili GaniMpige marafu hawachelewi kutoa mali za familia kuwapa hawa manabii uchwara
Nilikuwa natafuta comment yakoπ€£π€£π€£Walokole na utahira ni damu damu
Kazi kubwa sanaπKazi ipo...
Wapumbavu ni wengi sana nchini.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa mtume Boneface Mwamposa, Bulldozer.
Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu akamzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili?
Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.
View attachment 3645012
Leo amekomentNilikuwa natafuta comment yakoπ€£π€£π€£
ππππLeo amekoment
Hawachelewagi kufanya kituko, na ukiwashangaa wanadai ni vita vya kiroho, kuna mmoja wa kenya namfuatilia anawamezesha waumini nyuzi za kushonea nguo kuondoa mikosiNilikuwa natafuta comment yakoπ€£π€£π€£
Pegea Yeso makofeee.Walokole na utahira ni damu damu
Mbona huu ni muujiza mdogo sana ukilinganisha na miujiza ya mwezi kupasuka vipande viwili na kujirudia wakati wa Muhammad, bikira kumzaa Yesu, jua kusimama kwa maombi ya Joshua, mikate kudondoka kutoka mbiguni wana Israel wakala, maji kutoka kwenye vidole vya Muhammad, Yona kumezwa na kukaa tumboni kwa Samaki siku tatu?!Walokole na utahira ni damu damu
Daah hii ni hatari sana, na wanameza?? Ki afya ni hatari,Hawachelewagi kufanya kituko, na ukiwashangaa wanadai ni vita vya kiroho, kuna mmoja wa kenya namfuatia anawamezesha waumini nyuzi za kushonea nguo kuondoa mikosi
Drama ni zile zile tuMbona huu ni muujiza mdogo sana ukilinganisha na miujiza ya mwezi kupasuka vipande viwili na kujirudia wakati wa Muhammad, bikira kumzaa Yesu, jua kusimama kwa maombi ya Joshua, mikate kudondoka kutoka mbiguni wana Israel wakala, maji kutoka kwenye vidole vya Muhammad, Yona kumezwa na kukaa tumboni kwa Samaki siku tatu?!
sijajua , hao wapo tayari kwa lolote, siku moja atatokea kiongozi wao atawapa mpka mapupu na watakulaDaah hii ni hatari sana, na wanameza?? Ki afya ni hatari,
Lakini wewe umewakomalia Walokole tu bwashee!Drama ni zile zile tu