Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao.
Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC) huku akitengwa wakati aliahidiwa kuwa juu ya mwenzake Kiushawishi ndipo akaamua nae kuwaharibia Yanga SC kwa kutoa hii Siri ya kuwachoma Sindano zenye Dawa za Kuongeza Nguvu Wachezaji wao hali ambayo inawafanya wawe na nguvu maradufu ambayo ilikuwa ni Adhabu ya Vipigo vya maana kwa Wapinzani wao.
Cognizant nimemaliza. Asanteni Tabora United FC na nadhani sasa Tobo litaendelea Kupanuliwa na hata wengine watakaokuja.