Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

Kama vile nawaona CAF na madaktari wao wanavyojiandaa
 
Hili suala la madawa kama ni utani basi sio mzr, unaweza kutuharibia huko nje.
 
Nilipoona tu hilo jina faster, nikajiongeza kwa kushuka huku chini kuangali nyuzi zinazofanana, na kugundua kumbe ni kweli; Popoma Mbobevu has been banned!!
Umewaza kama mimi, huu uandishi nauona kabisa ni wa Genta, au ndo ID yake nyingine
 
Back
Top Bottom