Habari Moderator Maxence Melo

Mara kwa mara nimekua nikipata ujumbe wa "access denied" nikiingia JF kwa kutumia app yenu....

Naamini kuna codes hazipo sawa maana ni mpaka ujaribu mara tatu au nne ndio unaingia.

Pia app yenu haionyeshi notification "numbers" au "message" mpaka uingie kwenye button zao....

Please boresheni.
 
Ni simu mpya kila niki install haifunguki , inaandika subiri kidogo.Nime install na kuifuta zaidi ya Mara 10 ,lakini bado haifunguki.App iliyopo kwenye simu ya zamani inafunguka kirahisi.
 
Jamiiforum ni mtandao pendwa hapa africa mashariki na watumiaji wakubwa wa kiswahili.

Lakini mmekuwa nyuma sana kwenye app yenu kwendana na wakati kwenye maboresho,ubunifu na mtindo unaokwenda na vifaa vya simu janja.

app zinyingi zinajitahidi kuboresha mfumo ili wateja wake wazidi kupenda na kurahisisha.
Maswali kwenu
Je mmelizika !
Je hakuna mpinzani wa mtandao wenu kwenye soko !
Je mabadiliko ya app yenu hayana maana kwenye changamoto !

[mention]maximo [/mention]

tunaomba ufafanuzi kwa sababu ndio CEO wa hili ili wateja wako
 
Pendekeza hayo maboresho, acha malalamiko kwa huduma ambayo unatumia bure.
 
Watakupiga ban,naomba tupate katiba mpya ndo na jf iboreshwe
 
Pendekeza hayo maboresho, acha malalamiko kwa huduma ambayo unatumia bure.
1.Una uhakika anatumia bure?.

2. Kwani tweeter, instagram unalipia?.

Ni kweli jf kuna haja ya kuboreshwa as mtumiaji wa App ni tofauti na mtumiaji wa Google search, yaani google search naenjoy kuliko app.
 
Ni simu mpya kila niki install haifunguki , inaandika subiri kidogo.Nime install na kuifuta zaidi ya Mara 10 ,lakini bado haifunguki.App iliyopo kwenye simu ya zamani inafunguka kirahisi.
Asante kwa Taarifa. Itafanyiwa kazi.
 
Asante Kaka. Nimeinstall kwa simu bila shida. Ngoja ni install kwa PC hapa pia.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20220527-181646_Phoenix.jpg
    35.7 KB · Views: 51
Mbona kwangu sion sehem ya kuinstall app. Natumia Phoenix browser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…