Bora uwe na App ya porn utapata notification kuliko hizo mpya sijuwi wanaziita Puttin asa ndo nini.
Kama vipi hii jf App tuliyonayo waifute tu
Kuliko kutunyanyasa kwa kutuwekea notifications za miezi na miezi,zimeganda tu.
 
Habari guys juz nilikua naupdate ios ili sm yang iwe na IOS 16 storage ikawa ndogo nikafuta jamii forum sasa leo na download naambiwa haipo nchini kwang means hii app imezuiwa kutumika Tanzania alie experience hii issue aniambie pia
 
Hata mimi nimekutana na hili swala jf app haipatikani app store...sijui Maxence Melo ana mpango gani? Kwakweli mimi si mpenzi wa browser kabisa...na ni vizuri jf wawe na application ni vigumu kuwambia watu jf ilipofikia hakuna application ya ios ...hili ni jambo la aibu ni bora kuicha hata ile ya zamani kuliko kuiondoa kabisa!

Maxence Melo kwanini mnaturudisha nyuma? Kwanini mnataka kutuaminisha apolication siyo muhimu wakati ni muhimu?

Jf inatangazika zaidi na watu inakuwa kwao ni rahisi zaidi kama kuna application kwenye android na ios
 
Hongera sana pia pole Kwa majukumu mm nikijaribu hainyeshi au niifute nipakue upya asante
 
Wahusika tafadhali tuelezeni ni kitu gani kimesababisha mkaiondoa app store, kama ni maboresho ingefaa mkaicha iliyokuwepo kisha mngetoa toleo jipya ambalo tungeupdate tu.
 
Wahusika tafadhali tuelezeni ni kitu gani kimesababisha mkaiondoa app store, kama ni maboresho ingefaa mkaicha iliyokuwepo kisha mngetoa toleo jipya ambalo tungeupdate tu.
Hiyo itakuwa ile fake Bora wameitoa ilituchanganya sana

USSR
 
Habari wakuu natumaini wazima kabisa,

Wiki ilioisha nilibadilisha simu so kudownload app yangu pendwa jamii forums nakuta app store haipo kiufupi mpaka nikachanganyikiwa ikabidi nirudi walipo niuzia simu nilijua labda hili toleo la simu halipokei jamii forums so nikawa mkali wakajalibu kuingia app store kupitia simu zao nawao hawakukuta jamii forums nikabaki kushangaa.

Tatizo nini sasa mbona kwenye websites ipo tena vizuri tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…