Weuweeee[emoji7][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Melo katika ubora wako[emoji122][emoji122][emoji122]

Karma jf kumenoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si lazima Chrome maana nadhani umeona kuna wadau hapa wanakiri hata Brave iko njema kabisa
Mkuu hongera kwa maboresho.

Kwa upande wa notifications ni hadi uifungue App ndio uzione, hazionekani kama notifications za App zinavyoonekanaga juu(nyuma) screen.

Hii App mpya ya desktop naifananisha na ile ya forum ya kinaijeria, lakini ile ya kinaija inatoa notifications kama kawaida kama App zingine.

Naomba ulifanyie kazi hili ili tupate notifications hata kama hatujafungua App ila tu tukiwa tumewasha data.
 
Maxence Melo
Hongera kwa hatus hii

Nilikimbia app miaka mingi nyuma.. na sikucheki tena.. sababu ya permissions mlizotaka za lazima.. kwa hii ni zipi?
 
Asante kwa maelekezo. Nimeijaribu na ina work vizuri tu.
Japo sijajua kwanini mna mpango wa kuondoa App zilizopo kwenye Google na Apple stores?
Ila all in all, it works fine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…