Asante kwa maelekezo. Nimeijaribu na ina work vizuri tu.
Japo sijajua kwanini mna mpango wa kuondoa App zilizopo kwenye Google na Apple stores?
Ila all in all, it works fine kabisa.
To maintain apps kwenye hizi stores kunaambatana na changamoto nyingi. Aidha, hii inasaidia kwa ambaye hajui main site asione utofauti endapo atatumia App na wavutu.

Pia, tunakoelekea wewe mwenyewe utabaini kuwa it was a right decision...

Karibu mkuu
 
Mtakuwa mmefanya jambo zuri. Binafsi mpaka muda huu nimekuwa nikitumia Jamii Forums kupitia google, baada ya ile app yenu ya mwanzo kuwa na mapungufu mengi. Nitai download baadae kidogo.

Hongereni sana kwa hilo.
 
Natumia UC.

Option ya installation ipo. Lakini nikibonyeza inaniletea shortcut ya kuadd kwenye home screen. Haipakui program yenyewe.

Tatizo nini!?
 
Huenda huku-enable push notifications; lakini tutaangalia a better way of making this work easily.

Mfano, hapa chini ni Desktop App niliyo nayo ikionyesha notifications nilizopata.

Natumia UC.

Option ya installation ipo. Lakini nikibonyeza inaniletea shortcut ya kuadd kwenye home screen. Haipakui program yenyewe.

Tatizo nini!?
Ndio hivyo mkuu, maliza kazi within milliseconds
 
Natumia UC.

Option ya installation ipo. Lakini nikibonyeza inaniletea shortcut ya kuadd kwenye home screen. Haipakui program yenyewe.

Tatizo nini!?
Hakuna DOWNLOAD kama ilivyozoeleka kwa wengi. That shortcut is the only thing you need to do
 
Kwa jinsi nilivyo ona kwa wasio tumia Chrome hawata weza ku access hii app.
 
Deal done nimemaliza😁
 
Kwa jinsi nilivyo ona kwa wasio tumia Chrome hawata weza ku access hii app.
Kuna wanaotumia UC Browser na Brave etc wanaweza. Pia, wanaotumia Safari.

Bahati mbaya browsers nyingine sijazitumia kitambo; ndo maana rahisi to direct people ni Google Chrome ambayo najua wengi wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…