Melo VIPi wameacha kukusumbua..mana tuko huru toka siku yakwanza umetuweka pamoja
 
Mkubwa melo hiyo sio App bali ni browser extension

Jaribu kuwa na msemaji wa masuala ya tech maana Jf sasa ni mtandao mkubwa sana tena sana tofauti na watu wanavyofikiria
 
siku zote nimekuwa nikifikiri ni mimi tu ninayeona jf ya chrome ni nzuri kuliko ya playstore.

kazi nzuri,boresheni na theme ziwe zaidi ya hizi mbili,ongezeni na nyeupe kabisa.
 
Je ili ku Install hiyo Mpya sharti ya zamani ni Niitoe kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…