Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
JF ya crome ni nzuri tatizo ni shujaa wetu tu ametutoka!πππsiku zote nimekuwa nikifikiri ni mimi tu ninayeona jf ya chrome ni nzuri kuliko ya playstore.
kazi nzuri,boresheni na theme ziwe zaidi ya hizi mbili,ongezeni na nyeupe kabisa.
Nimefanikiwa sasa naenjoyNatangaza kushindwa mkuu
Kwakweli tuliozoea app ndio tunapata taabuMwonekano ni wa app , umekaa kama browser ,
Jamani kwenye hii app mpya mtuwekee utaratibu ule ule wa app ya zamani wa kufungua thread na kushuka nayo moja kwa moja mpaka chini. Haya maswala ya kufungua page 1, 2, 3 page 20 yanakera sana!
Sayuu...Saitaa
Someone said "Utamu wa pipi ni mate yako"Ndio changamoto tunaozipata watu wa app.
Ila kuna watu wanasifia
Nawashangaa sana
Kweli hatufanani
Kilio chetu na sisi wa app tufikiriwe matakwa yetu.
Mm kiukweli browser bado sijaielewa.
Kwa mfano Instagram ndio naona wamepatia huoni utofauti wa app na ukifungulia ktk browser.
Muonekano uwe sawa mtu asione utofauti.
Lakini kwa hili wengine tutabak na app labda umdelete.
Unatumia wapi Freebasic App au kupitia Browser mbona mimi halotel haileti JF yaani haipoKwa wale watumiaji wa freebasics.com inafanya kazi?
Bando likikata huwa najirusha na freebasics kupitia Halotel
Nenda kipengere cha kuongeza hudumaUnatumia wapi Freebasic App au kupitia Browser mbona mimi halotel haileti JF yaani haipo
Shujaa ameondoka wakati sahihi,hebu fikiria eti alikuwa ameshauri 400mb ziuzwe sh 1000,mungu kafanya jambo la maana sana kusepa na hilo screpaJF ya crome ni nzuri tatizo ni shujaa wetu tu ametutoka!πππ
Yaani!,nakumbuka nilitoa sadaka ya kuteketeza kumshukuru muumba kwa kutuondolea uchafu!Sh
Shujaa ameondoka wakati sahihi,hebu fikiria eti alikuwa ameshauri 400mb ziuzwe sh 1000,mungu kafanya jambo la maana sana kusepa na hilo screpa
Hakika wewe bwana ubarikiwe sana...nimetumia MB kuingia JF kwa muda wa miezi sijui 2 au 3 kumbe kipengere kidogo tu kilikuwa mchawi.
Hicho kipengele unakipata wapi?