App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Download app ya JF yale matoleo ya zamani
Screenshot_20230804_074637.jpg
 
Browser habari za kubonyeza next na ukitaka kurudi mwanzo lazima urud had page ya kwanza vinanikwaza mnoo.

Halafu hata mpangilio wake haunivutii hata robo naona siku app ikifa na mimi ndo utakua mwsho wa kutumia jf
Basi sawa
 
Muwe mnaangalia pahala pa kuleta utani na kunyamaza ....jifunze kufikiri kabla ya kufunga mdomo.
We bwege eti hilo swala tumeshalizungumza humu zaidi ya mara Mia,kulikua na haja gani ya kuleta uzi humu ilihali kuna nyuzi nyingi zimeshajadiliwa??
Punguza majuaji na usinipangie cha kuandika salange we
 
Habari za muda huu wakuu,simu yangu inashindwa kufungua picha za humu JF.

*Je tatizo nini, kama ni update je nafanyaje labda kupata mpya tofauti na kupakua play store?

Samahani wakuu kama kuna mtu anajua anisaidie maana napitwa mwenzenu[emoji120]
 
Back
Top Bottom