Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

SIPA account ya continues kaandikiwa, "Congratulations you have been allocated loan for year 2023/2024". Lakini hamna amount yoyote iliyowekwa. Najua mfumo unasumbua nisidanganyike nikaacha kufanya appeal
 
Sijajua kama kuna room ya kuweka supporting document. Ukisha upload signed appeal form hakuna sehemu ya pili ili uweze kuweka hiyo document. Mie imenitokea hivyo.
Unaunganisha documents zote kwa pamoja ndiyo una upload.

Ukimaliza ku scan fomu ya Heslb unaunganisha na any supporting document kisha una upload pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekutana na hii kwenye kuangalia allocation imeniandikia index no yangu not found ni shida ya mtandao au nini?
 
Ndiyo ni changamoto ya mtandao tu maana bado wanaendelea kufanya allocation kwahiyo uwe unaingia mara kwa mara ili kuona kama umepangiwa allocation ama ukate rufaa.

First year wanaanza kupokea boom wiki ijayo kwa maana kuanzia kesho jumatatu.
 
Naomba kuuliza maana nimeingia hapa nakuta sehem ya ku upload picha tu.

Na hapa nina barua, swali langu je hii barua tuna upload wapi?

Au hii ni step 1 ndio natakiwa ni upload picha kisha kuna step 2 ndio ntatakiwa ni upload barua?

Au hakuna ku upload barua ni picha tu?

Naombeni majibu kwa mwenye aliyefanikiwa kuappeal kwa sababu ya kutokupangiwa mkopo au kutopewa mkopo.
 
Nenda stationary ulipe hela ufanyiwe usifanye ubahili wa kulipa stationary ukaharibu mambo
 
Mm nilikuwa nauliza mm nili attach barua za serikali za mtaa, disability form na barua ya kustaafu ya mzee mwanzoni hasa baada ya kudownload signed appeal baada ya kuiprint niliscann upande mmja tu wa tarehe na saini yangu nikatuma je nitakuwa nimekosea kwa maana naona wengine wanasema unatakia hizo barua na documents nizitume kwa pamoja wakati mm nilishawekaga kule mwanzani kabla sijasubmitt
 
Izo document zote ulitakiwa uweke kwenye file moja halafu uzitume

Ungeanza ku scan iyo fomu, barua ya serekali za mitaa, barua ya kustaafu na attachment nyingine halafu unatuma file moja
 
Daah mm sijafanya ivo ko nitafanyaje aise ni application imeshaandika submitted mm niliweka kule mwanzaon tu mkuu daah 😓
Izo document zote ulitakiwa uweke kwenye file moja halafu uzitume

Ungeanza ku scan iyo fomu, barua ya serekali za mitaa, barua ya kustaafu na attachment nyingine halafu unatuma file m
 
Izo document zote ulitakiwa uweke kwenye file moja halafu uzitume

Ungeanza ku scan iyo fomu, barua ya serekali za mitaa, barua ya kustaafu na attachment nyingine halafu unatuma file moja
Hamna njia yoyote ya ku cancel appeal mkuu nianze upya tena kwa maana hizo documents niliweka mwanzon kabisa ila mwishon ndio nikatuma iyo form ya appeal moja tuu
 
Uko sahihi, hizo form zingine ukishawasilisha mwanzo hupaswi kuzituma tena...

Ndo maana wakakuambia "Upload signed appeal form" hawajasema uweke na docs zingine..
 
appel form naidowlod na kuprint then nasaini na kuiapload tena au inakuweje wadau
 
Uko sahihi, hizo form zingine ukishawasilisha mwanzo hupaswi kuzituma tena...

Ndo maana wakakuambia "Upload signed appeal form" hawajasema uweke na docs zingine..
Sawa mkuu, nimekuelewa nikafikiri nimekosea
 
katuma form bila kusaini, kureverse inakubali
Nimetuma form nimeisain mkuu, shida ni kwamba hio fomu niliotuma kuna watu wengine wanasema etii unaziunganisha na documents na barua then unaituma ndio nilikuwa naulizia kwamba nimekosea au kwa maana mm nilivotuma nimesain bila kuanganisha documents zingine ila hizo documents zingine niliweka mwanzon kabisa wakati najaza
 
Back
Top Bottom