Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaunganisha documents zote kwa pamoja ndiyo una upload.Sijajua kama kuna room ya kuweka supporting document. Ukisha upload signed appeal form hakuna sehemu ya pili ili uweze kuweka hiyo document. Mie imenitokea hivyo.
Nimekutana na hii kwenye kuangalia allocation imeniandikia index no yangu not found ni shida ya mtandao au nini?Unaunganisha documents zote kwa pamoja ndiyo una upload.
Ukimaliza ku scan fomu ya Heslb unaunganisha na any supporting document kisha una upload pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ni changamoto ya mtandao tu maana bado wanaendelea kufanya allocation kwahiyo uwe unaingia mara kwa mara ili kuona kama umepangiwa allocation ama ukate rufaa.Nimekutana na hii kwenye kuangalia allocation imeniandikia index no yangu not found ni shida ya mtandao au nini?
Naomba kuuliza maana nimeingia hapa nakuta sehem ya ku upload picha tu.
Na hapa nina barua, swali langu je hii barua tuna upload wapi?
Au hii ni step 1 ndio natakiwa ni upload picha kisha kuna step 2 ndio ntatakiwa ni upload barua?
Au hakuna ku upload barua ni picha tu?
Naombeni majibu kwa mwenye aliyefanikiwa kuappeal kwa sababu ya kutokupangiwa mkopo au kutopewa mkopo.
mwisho kesho Tarehe 13appeal mwisho tarehe ngapi?!
Izo document zote ulitakiwa uweke kwenye file moja halafu uzitumeMm nilikuwa nauliza mm nili attach barua za serikali za mtaa, disability form na barua ya kustaafu ya mzee mwanzoni hasa baada ya kudownload signed appeal baada ya kuiprint niliscann upande mmja tu wa tarehe na saini yangu nikatuma je nitakuwa nimekosea kwa maana naona wengine wanasema unatakia hizo barua na documents nizitume kwa pamoja wakati mm nilishawekaga kule mwanzani kabla sijasubmitt
Izo document zote ulitakiwa uweke kwenye file moja halafu uzitume
Ungeanza ku scan iyo fomu, barua ya serekali za mitaa, barua ya kustaafu na attachment nyingine halafu unatuma file m
Hamna njia yoyote ya ku cancel appeal mkuu nianze upya tena kwa maana hizo documents niliweka mwanzon kabisa ila mwishon ndio nikatuma iyo form ya appeal moja tuuIzo document zote ulitakiwa uweke kwenye file moja halafu uzitume
Ungeanza ku scan iyo fomu, barua ya serekali za mitaa, barua ya kustaafu na attachment nyingine halafu unatuma file moja
Uko sahihi, hizo form zingine ukishawasilisha mwanzo hupaswi kuzituma tena...Hamna njia yoyote ya ku cancel appeal mkuu nianze upya tena kwa maana hizo documents niliweka mwanzon kabisa ila mwishon ndio nikatuma iyo form ya appeal moja tuu
hujakosea .Daah mm sijafanya ivo ko nitafanyaje aise ni application imeshaandika submitted mm niliweka kule mwanzaon tu mkuu daah 😓
Mm niliweka mwanzon mkuu sio kama sijaziweka nilizeweka pale kwenye other reason na disability form niliweka upande wake wa disability ila mwishon ndio nikaupload form moja niliosain na tarehe ndio nikatumahujakosea .
ila mwenzako ana added advantage
Sawa mkuu, nimekuelewa nikafikiri nimekoseaUko sahihi, hizo form zingine ukishawasilisha mwanzo hupaswi kuzituma tena...
Ndo maana wakakuambia "Upload signed appeal form" hawajasema uweke na docs zingine..
katuma form bila kusaini, kureverse inakubaliSawa mkuu, nimekuelewa nikafikiri nimekosea
Nimetuma form nimeisain mkuu, shida ni kwamba hio fomu niliotuma kuna watu wengine wanasema etii unaziunganisha na documents na barua then unaituma ndio nilikuwa naulizia kwamba nimekosea au kwa maana mm nilivotuma nimesain bila kuanganisha documents zingine ila hizo documents zingine niliweka mwanzon kabisa wakati najazakatuma form bila kusaini, kureverse inakubali