iPhone 16 Pro na Pro Max zimefika!
Baada ya iOS 18, Apple Watch 10 na iPhone 16 na 16 Plus, sasa kaka zao Pro na Pro Max wamefunga kazi.
View attachment 3091989
Appearance ni kama iPhone 15 Pro na Pro Max, kasoro ukubwa uneongezeka. Pia "wamesema" imekua na thin bezel zaidi, new camera (ultra wide na 5x telephoto), na zinatumia new chip ya A18 Pro (sio kama A18 ya kwenye 16 na 16+)!
Kwa kifupi presentation nzima ilikua about Apple Intelligence, as if walikua wanazindua iOS 18 na sio hardware.
Bei $999 kwa Pro na $ 1,199 kwa Pro Max,
BEFORE TAX!