Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

Mpwa , hii nchi ngumu mno! πŸ˜€
 
Nilikuwa sinza hospital last week, Kuna mdada ana I phone 13.

ana zigo fulani, sijui nili msemesha kipi aka nambia I phone mpya zina karibia kutoka. So wewe tu nichangamkie
Enhee hatari!

Ndio uchangamke sasa! Mimi leo kuna mtu namuitaga rafiki yangu (yuko nje) amenitumia picha ya hiyo simu mpya kama mara 3 hivi… nikamwambia nishaiona huko mtandaoni, vipi unataka nikuombe? Wanaume nao washazoea kuombwa aifoni, kiasi kwamba usipomuomba anakuwa anawashwa washwa!

Mtu mwenyewe ni rafiki yangu tunajuana vizuri, hiyo hela hana kwa kweli sasa sijui kwanini hatulii.
 
Ana matumaini anaweza, usizime ndoto yake..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ iphone kwa tanzania ni kama dhamana ya kupata kitu au mtego hahahaha!
 
Honestly hakuna Cha maana Yani walichoongeza. Kwa AI ,bado wapi nyuma, waendelee kuomba msaada kwa google tu.
 
Apple bwana sasa hizo PRO, PLUS, PRO MAX na PRO PLUS MAX sijui, hivi hayo mauchafu yote ndo Steve jobs aliyataka kweli au tim cook ndo anajiongeza kwa niaba ya tecno kisirisiri mmh
 
Apple bwana sasa hizo PRO, PLUS, PRO MAX na PRO PLUS MAX sijui, hivi hayo mauchafu yote ndo Steve jobs aliyataka kweli au tim cook ndo anajiongeza kwa niaba ya tecno kisirisiri mmh
Janja janja sana. Saaana.
 
Na nilivyo mvivu, acha nimuache tu. maana hawa chelewi kukuambia umpeleke lunch golden fork ya oysterbay.
Akati na pale sinza hospital IPOπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

USI msemee bhana, USI pime mfuko wa mtu kwa kumtazama au historia yake!!.
 
Na nilivyo mvivu, acha nimuache tu. maana hawa chelewi kukuambia umpeleke lunch golden fork ya oysterbay.
Akati na pale sinza hospital IPOπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.

USI msemee bhana, USI pime mfuko wa mtu kwa kumtazama au historia yake!!.
Golden fork zote bei ni zile zile tu. Halafu dinner ya golden fork si mtashiba sana kama mnaenda kulima? au ndio kazi kazi.

Ukiendelea nitamtag yupo humu anayeweza kuninunulia 100% ananunua akiwa hawazi chochote kwa kutumia chenchi alizobakiza safarini πŸ˜‚
 
Kushiba ni muhimu Sana, I like eating na ndo starehe ninayo ipa kipaumbele.

Kumnunulia mtu kitu siyo shida, shida ni mtu anavyo behave, few weeks una taka I phone- are you the agent of bargainers on earth πŸ˜ƒ.

Kama niki kutana na mtu, na haja wahi pata experience fulani za maisha.
I'm willing to show them the world, ila sio kina mikucha mirefu
 
Ni umaskini Wa mawazo tu.
 
I wish dada aone hii! anapishana na gari ya mshahara. ☺️
 
I wish dada aone hii! anapishana na gari ya mshahara. ☺️
Moja kati ya kitu nacho pendea kwa watu ni uhalisia.
Wewe Ukiwa wewe, Wala hata huni sumbui, kwani ukiwa na njaa najua,uki nuna najua.

Nina mlinzi wa nyumba iko shamba, yule Jamaa kachagua kuwa yeye, hapindi Wala hana janja janja.

Uta sikia kaka najua ume nilipa, ila SI una jua familia yetu ni Kama mchwa bhana- jitekenye basi
 
I wish dada aone hii! anapishana na gari ya mshahara. ☺️
Usha wahi kutana na watu Wana kufanya ufurahi na kuona aibu ukiwa nao??!.

Yaani wata cheza hata barabarani, ili mradi ucheke tu.
Na Wala hudaiwi au hawako entitled na kitu Chako.

Mna kutana Kama ni masela, eat, laugh wanao kunywa na wanywe.
Mna share deal baadhi, ushauri upate

and that's how life is, nitekenye niku tekenye.
 
Sahihi kabisa.
 
Mi huwa siamini kwanza, mtu aliwe huko kisa simu??
Mkuu acha kabisa, mengi yanayozungumzwa humu unaweza kuona kama ni uzushi ila ni uhalisia. Mimi sikuwa nikiamini ila baada ya kujichanganya na watu ndo nikajua jinsi dunia ilivyo haribika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…