Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Hii yaweza kuwa first copy maana nimechukua duka la jumla kwa luteni tu (10K) ila nahisi ndio tunazouziwa zaidi ya elfu 20 mtaani.

First copy 10000 ni uongo.Bhc ukipata first copy ya earpods ukaisikiliza nazani utapost mpka YouTube [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hiyo app yao unaipata wapi ,vp ni unatumia online au hata offline ?
 
View attachment 2726378
Case haijachajiwa toka juzi..
Left ear ipo inatumika toka 3 nne nilivyotoka nyumbani
Hii nimeipenda nimedhamiria kuinyaka ,panapo majaaliwa wiki ijayo nitatimba China plaza K/Koo nikaisake ,nimeona features zake zimenivutia nimeona Youtube jamaa Mnigeria kazielezea vizuri sana.

Vipi hizo hakuna kupigwa kupewa fake ?

Sound ina Quality nzuri ?
 
Chekeche nyingi..! kuna msee nilimkuta nazo nikachukua moja kusogeza kwenye sikio mziki ni kama marimba na sahani zinagogwa.
Nikamwambia jaribu hizi zangu mchina lakini bass kali na hazichoshii kabisaa kila kitu inatoka kwa mpangilio..
 

Attachments

  • 20230823_182332.jpg
    639.9 KB · Views: 5
Mimi tokea nianze kutumia pods nimeacha ramsi mawaya sasa hivi mawaya naona uzito kuvaa hata ziwe na Quality ya dunia ,wire rahisi kuharibika ukijichanganya kidogo basi zimekufa na inaweza kunasia mahali kuinuka zinakatika ndio maana nimeacha sasa.
Hiyo karaha/adhabu ya kuchaji kila masaa mawili huoni ni shida pia?

Mimi sipendi kutumia kitu, kila dakika unahofia chaji imebaki kiasi gani.

Halaf kingine, nikiona mtu kavaa earpods namuona kama bishoo hivi (mf. Kitenge)
 
Hakuna kupigwa.. value fo money kama ni first pods yako na bajet unaruhusu nakurecommend riffs japo zitest kwanza hiv hutojutia
 
Hiyo karaha/adhabu ya kuchaji kila masaa mawili huoni ni shida pia?

Mimi sipendi kutumia kitu, kila dakika unahofia chaji imebaki kiasi gani.

Halaf kingine, nikiona mtu kavaa earpods namuona kama bishoo hivi (mf. Kitenge)
Unatumia pods gan ambazo unacharge kila baada ya masaa 2 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…